rais

  1. Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  2. Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

    Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu...
  3. Kuna siku Tanzania atatokea Rais ambaye hakushiriki uchaguzi mkuu wala kupigiwa kura

    Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge. Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu na unapaswa kuzibwa haraka sana. Kwa mfano Wananchi walimchagua Hayati awaongoze na SSH kama makamu...
  4. Chonde chonde Watanzania tuwaangalie wateule wa Rais kwa weledi wao

    Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao...
  5. Nikiwa Rais nitaifanya Wilaya ya Same kuwa Mkoa. Zàmu Kwa Zamu

    NITAKAPO KUWA RAIS, SAME ITAKUWA MKOA. Na, Robert Heriel Najua haina vigezo, najua wapo watakaonipinga, nafahamu kelele nitakazo pigiwa. Lakini sitajali. Same lazima iwe Mkoa. Kila Rais akiingia Madarakani afanye Mji wake au wilaya atokayo kuwa Mkoa, ikiwezekana aweke ndio yawe makao ya nchi...
  6. Q

    Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    "Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa. Mahonda, Kaskazini Unguja. Mei 29, 2021.
  7. Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  8. Rais wa Burundi kuja kukagua bandari ya Kisumu, ikumbukwe tumeunga reli ya moja kwa moja kutokea Mombasa

    Mambo yanazidi kuwa kizazi zaidi, ngoma inogile, bandari yetu ya Kisumu inazidi kuwasha moto na kukaa mkao wa kula... Mwanza na Kanda ziwa Tanzania ni soko kubwa sana ukilitia mfukoni, tutie kwapani Burundi, Rwanda na Uganda..... ================================...
  9. Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya mitandaoni,lakini haya ndio majukwaa huru kwa 100% yanaweza kukupa ushauri mzuri kuliko wale wanaokutazazma ana...
  10. K

    Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo

    Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita. Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli) Tukaja mama...
  11. J

    Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  12. Je, wezi wa Wizara ya fedha wameshafahamu aina ya Rais tuliyenaye?

    Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi. Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa...
  13. R

    CHADEMA sukumeni agenda yenu ya kukutana na Rais Samia

    Kwa kuanzia hili ni muhimu na lenye nia njema. Tumetoka kwenye udikteta uliokubuhu na hivyo kuna mwanya wa kufanya reconcilliantion. Push your agenda to meet her. Na wala hamuendi kujikomba kwake, kujipendekeza, ni kuona kama kunaweza kuwa na mwanzo mpya.
  14. Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
  15. J

    Viongozi wa CHADEMA waeleza kuridhishwa na mwenendo wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia. Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa. Source ITV habari!
  16. J

    Warioba: Tulipoingia madarakani na Rais Mwinyi mwaka 1985 tuliikuta nchi haina fedha za kigeni!

    Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni. Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
  17. J

    Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha. Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale...
  18. Afrika Kusini: Jacob Zuma akana mashtaka ya ufisadi mwanzoni mwa kesi yake

    Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu. Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha wenye utata. Bwana...
  19. Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

    Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha...
  20. Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…