rais

  1. Kwenye suala la Tozo, Rais Samia ataibukia hapa kuonesha ni msikivu

    Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua. Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala la tozo mpya ya miamala ili baadaye Rais aseme amesikia kilio cha wananchi na kuondoa. Inabidi...
  2. Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  3. Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

    MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!? Leo 12:50hrs 18/07/2021 Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
  4. Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  5. Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  6. K

    Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  7. Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  8. Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  9. K

    Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  10. M

    Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  11. DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
  12. Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  13. Mh. Rais Inawezekana Kabisa Unahujumiwa bila kujijua

    Habari Mheshimiwa Rais, Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule. Hivyo nilijua uongozi wako...
  14. Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  15. M

    Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
  16. Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

    Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
  17. Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  18. Mke wa Rais wa Ghana kurudisha posho yote aliyopokea tangu Rais aingie madarakani ili kulinda taswira yake

    Mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, Rebecca Akufo-Addo, amesema atarudisha kiasi chote cha fedha alichowahi kupokea kama posho tangu mumewe aingie madarakani mwaka 2017. Hatua yake hiyo imekuja baada ya wananchi kulalamikia uamuzi wa Bunge kumuongezea posho na kufikia Dola 3,500 kwa mwezi...
  19. Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  20. DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    "Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…