rais

  1. W

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani Diamond Jubilee

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika maadhimisho ya siku ya Demokrasia duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Fuatilia kupitia Ikulu Mawasiliano Link. Saa 5.20 Inafuata Burudani kutoka TBC Saa 5.30 Kikundi cha watoto wa Mama.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

    Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  4. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa, Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani, Kila Mzalendo lazima aone kazi nzuri na njema anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi: Rais Putin ajitenga baada ya wasaidizi wake kupata Corona

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anajitenga kama tahadhari baada ya Wasaidizi wake wa karibu kuugua Ugonjwa wa COVID19. Imeelezwa, Rais huyo mwenye miaka 68 hana maambukizi. Kwa mujibu wa Ikulu (Kremlin) Putin kwa kushirikiana na Wataalamu alifikia uamuzi wa kujitenga baada ya kukutana na Rais wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wafanyakazi wanaodumu kazini ni wale wanaomsoma Rais yukoje na siyo wale wanaoisoma Katiba na Sheria

    Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma. Hii maana yake nini. Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje. Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua...
  8. JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  9. JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa Rais, Magufuli alikuwa nani katika nchi hii? Tumechoka sasa

    Kipindi cha nyuma nilikua nampenda na namkubali JPM kwa utendaji wake kazi lakini kwa sasa naona kama vile nikisikia hata jina lake napata kichefuchefu sasa maana imekua too much katika hali isiyo ya kawaida mimi nashangaa na ninasikitika sana, nimejiuliza sana Hayati JPM alikua na kipawa cha...
  13. JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    DC wa Mwanga Mheshimiwa Abdallah Mwaipaya najua kuwa ulikuwa Radio One na ITV na ulikipenda mno Kipindi chako cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili ukiwa na Pacha wako Farhia Middle. Kwa Mshangao kabisa leo nimekusikia nawe ukipiga Simu ( japo najua uliipiga ya Farhia Middle ) na Kuanza...
  15. JamiiForums Tanzania Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

    ==== Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :- 1. Rais Mnyenyekevu kama huyu, 2. Rais Mpole kama huyu, 3. Rais Msikivu kama huyu, 3. Rais Mtulivu kama huyu 4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu 5. Rais Mkarimu kama huyu 6. Rais Mzalendo kama huyu 7. Rais Jasiri...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Pesa za serikali zilizoongezwa kwenye bajeti ya kununua Mahindi zinaitwa pesa za Rais?

    Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini. Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  20. JamiiForums Tanzania mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

    Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…