Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree.
Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale.
Sisi ndiyo tunawauzia hao...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samia suluhu
hali
hali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
raisrais samia
samia
samia amuasili mtoto mchanga
samia suluhu hassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia.
Katika ziara...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model.
Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026
https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi, 2026 katika Makao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe.
Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi.
Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti?
Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote?
Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo!
Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui,
Kwanza kusema atatambuliwa...
" Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU"
Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi
Kusema ukweli Nchimbi...
Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
Raha ya milele umpe Ee Bwana, apumzime kwa amani, Amina!
Binafsi nimeona mijadala mbalimbali ikimuhusisha Fr. Kitima na namna alivyowatambulisha watu kanisani na namna alivyomkaribisha Rais kuaga mwili wa Marehemu Pengo.
Sehemu kubwa ya mjadala watu wanasema kwamba Fr. Kitima kaonyesha dharau...
Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne.
Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.