rais

  1. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

    Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais -...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wawavutia Vijana wa Gen Z

    Vijana wa Gen Z wamepongeza ununuzi wa gari mpya na za kisasa za Aina ya Range Rover kwenye msafara wa Mheshimiwa Rais. Hakika tunaweza. Kazi na Utu
  4. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  6. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wito: Rais Hutubia nchi Jioni ya Tarehe 8 Dec

    Kwa Maslahi mapana ya nchi na utulivu uliopo uendelee japo kwa mbinu, ingawa wote tunajua amani ni matokeo ya HAKI Wito wangu kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan jioni ya tarehe 8 December hutubia nchi mama tuna watoto wazee na wake zetu Mbona Jacob Zuma aliwah kufanya hivyo akawasuprise wasouth...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro, Fahamouze Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila. Ziara...
  8. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais hana Mamlaka Kisheria ya kutoa msamaha kwa washtakiwa/watuhumiwa

    Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika. Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa. Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni Rais kujiona kama Mungu, Infallible, Omnipotent , Alpha na Omega

    Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja. TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na watawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hili la kutokuhojiwa ushindi wa rais mahakamani, ni upumbavu mkubwa. Trump alipelekwa mahakamani, Olmert wa Israel, Sarkozy, Park Gen-hye, soon Bibi"

    Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu. Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

    1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tuheshimiwe kama tunavyowaheshimu mataifa mengine

    "Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bunge la 13
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  19. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
Back
Top Bottom