rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon Paul ameshinda tena urais kwa awamu ya nane

    Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Oktoba 27, 2025 na Baraza la Katiba Soma pia Rais Paul Biya anaongoza kwa 53% Matokeo ya awali...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini maandamano imekuwa njia mbadala ya kuondoa tawala za kifisadi kuliko mtutu wa bunduki?

    Dunia nzima sasa hivi, watawala mafisadi wanaondolewa na maandano ya wananchi. Ni kweli kuwa kuwa mamlaka ya kutawala yanatoka kwa wananchi. Lakini kwa nini watawala mafisadi duniani kote wanaogopa kuondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa mali za umma kama huko Nepal!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  4. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Madagascar yamfuta uraia Rais aliyepinduliwa

    Madagascar imemfuta uraia aliyekuwa rais wa nchi hiyo kabla ya kupinduliwa na jeshi. Waziri mkuu, Herintsalama Rajaonarivelo ndiye ametia sahini maamuzi haya ya kihistoria. Habari hii ni kwa mujibu wa BBC --- The order, signed by new Prime Minister Herintsalama Rajaonarivelo, cited local...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu

    Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu. Machawa yaliyokomaa hata hayajui yanaongea nini
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Rais Samuya, hakutakuwa na Nywinywinywi". Kikwete alimuingiza chaka Rais Samia

    Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump kuwa Rais kwa awamu ya tatu wazidi kusukwa na MAGA

    Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Kwa sasa Umeme ni Saa 24 Dar es Salaam

    Mgombea wa uraisi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan amesema awali katika Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa kunachangamoto ya umeme lakini kutokana na kazi kubwa iliyofanyika, hadi kufikia sasa katika mkoa huo nishati ya umeme inapatikana kwa saa 24 “Si muda mrefu uliopita...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jamani, angalie Rais Samia alivyotuna

    Ni kweli ni wakati wake kutuna. Atulie ale lakini asitumalizie Watoto wetu. Sababu hapo alipo ni miaka michache. Baadaya hapo atakuwa si lolote si chochote. Uzuri wa mali hata ujaze hela unakufa na kuziacha. Urais unakuwa wa maana ukiambatana na kulinda uhai wa unaowatala. Bado namtafuta...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Ila tukiweka ushabiki pembeni mwanamke hatakiwi kuwa Rais wa nchi

    Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote! Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
  12. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jifunze kitu kutokana na kifo cha Raila Odinga

    Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila! Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote. TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja! Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
  14. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Lebanon Joseph Aoun Ataka Mahusiano ya kibalozi na Israel!!

    Rais wa Lebanon Joseph Aoun anachapisha kwenye ukurasa wake rasmi maudhui ya hotuba ya Mbunge wa Lebanon Alain Aoun (mpwa wa Rais wa zamani Michel Aoun): Wakati umefika wa kumaliza mzozo na Israeli na kuelekea kwenye utulivu na ustawi
  19. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
Back
Top Bottom