rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Harvard University: Hotuba ya Hayati Rais Benjamin Mkapa

    Hotuba ya Rais Benjamin Mkapa Harvard University Sept 15, 1999. Pamoja na kuhutubia Rais Mkapa alijibu maswali toka kwa wanajumuiya ya Harvard.
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais Samia sikiliza maoni ya watu hata yale yasiyokufurahisha

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama hayafurahishi masikioni. Ushauri huo wa Askofu Niwemugizi ni sehemu ya hotuba yake katika...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa kutukuzwa, asema yeye hawezi kujilinganisha na Mungu

    Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu. Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa. === Picha: Rais Samia Hassan Suluhu Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi...
  7. JamiiForums Tanzania Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

    “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. Pia...
  8. JamiiForums Tanzania Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia anajua kutupia vizuri

    Huyu afande, Kanali Mashauri ambaye ni mpambe wa Rais Samia, ukiacha mavazi ya kijeshi yuko vizuri pia katika mavazi ya kiraia. Juzi niliona wakishuka pale Airport akiwa amevaa kiraia, amevaa suti yake imemkaa vyema sana hakika anaendana sana na Rais Samia. Kongole kwake Afande, unaitendea...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini Mkoani Kagera kuanzia Saa 4 asubuhi hii. Utafuatilia matangazo haya ya moja kwa moja kupitia...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa rahisi kwa CHADEMA kuchukua nchi wakati wa Magufuli, huyu wa sasa amebow kwa mabeberu they will protect her position

    Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo. Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

    Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki. ======= Samia is a master political player Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY Tanzania’s President Samia Suluhu is...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  13. JamiiForums Tanzania Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

    Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao . Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Nukuu za Katibu Mwenezi CCM Taifa akiongea baada Rais Samia kuwasili akitokea ziara nje ya nchi, Jumapili 20 Februari 2022

    NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022 " CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na upeo, uthubutu na juhudi zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika medani za Kimataifa"...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii mbovu Rais anaweza kuuza mkoa wa Arusha na asihojiwe wala kushitakiwa mahala popote. Tuibadilishe

    Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro. Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais". Kwahiyo basi, katiba...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni muungwana lakini je atashinda mitego ya wizi wa kura?

    Swali langu ni dogo sana na halihitaji maelezo marefu mama samia ameonyesha uungwana na uvumilivu kwenye mambo mengi mfano kwa Tundulisu na kufungulia magazeti lakini je atashinda kizingiti cha chama chake na dola kutoiba kura kwenye uchaguzi?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili uhusiano Kati ya t-shirt mpya kuvaliwa juu ya shati chafu na misaada kutumika kupamabana na umasikini tunapoangazia mapokezi ya Mhe. Rais

    Nampongeza Mhe. Rais kutamka adharani Kwamba amekwenda ulaya kurejesha mahusiano yaliyoaharibika Kati ya Tanzania na Nchi za Ulaya. Amewaonyesha kamati ya kusifu na kupongeza Kwamba walilitendea vyema tumbo wakaacha Nchi ikiwa na matobo. Pili nimpongeze Kwa juhudi anazofanya, natambua amekuta...
  18. JamiiForums Tanzania Try Again: Nitaongea na Rais tumnase Adebayor

    "Huyu ni mchezaji mzuri sana, niliongea na Rais wa USGN 🇳🇪 akaniambia yupo hapa kwa Mkopo akitokea Denmark 🇩🇰, huyu si mchezaji wa kurudi Denmark anatakiwa kucheza Simba Sc, nitaongea na Rais tuvunje benki" Salim Abdallah (Try Again) Adebayor mwenyewe akihojiwa na Patrick Nyembela amesema yupo...
  19. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa. ‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi. Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona. Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Rais Samia, siku 10 nje ya nchi zimelijaza Taifa mapene ya maendeleo

    Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli na usafiri wa mwendokasi, kilimo, Uchumi wa Buluu, masuala ya Bahari na maendeleo endelevu. Tayali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…