rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aelezea mafanikio ya mwaka mmoja wa rais Samia katika sekta ya Nishati

    MUDA HUU Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani. Kupitia link hapo chini👇🏿
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kikosi Kazi alichounda Rais kimem ‘expose’ Zitto yuko upande gani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani. Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

    Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba watu duniani waandamane kuipinga Urusi

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24 Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka...
  8. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wastaafu tunamshukuru Rais Samia, pensheni inaingia kwa wakati

    Leo tarehe 24.3.2022 pensheni kwa Wastaafu tayari imeingia tofauti na nyakati za zamani. Kwa niaba ya Wastaafu ninakushukuru kwa Wastaafu kupata pensheni yao mapema. Tunakuombea afya njema ili uweze kuliongoza Taifa.
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua nyumba 644 za makazi Magomeni Kota, akubali ombi la kupangisha kwa utaratibu wa Mpangaji Mnunuzi

    Leo Jumatano Machi 23, 2022, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Nyumba 644 za Makazi Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 4 na nusu asubuhi hii. Utafuatilia Matangazo haya ya moja kwa moja kupitia Televisheni, Radio na Mitandao ya Kijamii. #TunaImaninaSamia...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi. Ramaphosa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Magomeni Quarters Tarehe 23/03/2022

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam. Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki. Ujenzi wa majengo ya...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huu mtindo wa Rais kujifichia kwenye kamati/ kikosi kazi unaitwaje kitaalamu?

    Tumeona maamuzi kadhaa ya kitaifa hivi karibuni yamekuwa yakitolewa kupitia uundwaji wa tume, kamati na vikosi kazi. Tunaona imeundwa timu ya kuangalia kanuni za kuendesha mikutano ya siasa Baadae kidogo tunaona kuna kikosi kazi cha kuangalia tume huru na kushauri kuhusu upatikanaji wa katiba...
  16. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unakumbuka haya, naona umeanza tena kuhusu muda wa madaraka ya Urais

    Mtangulizi wake ambae ni JPM alikuwa anafurahia kusifiwa kwamba ataongezewa muda, lakini naona plans zake zilipishana na plans za mwenyezi Mungu. Rais Samia naona na yeye kaanza kujitabilia kuongoza miaka tisa (9) mbele, bila kujua kama mwenyezi Mungu nae anazo plans pia. Kwa tunaoamini katika...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua mradi wa maji Mlandizi - Chalinze - Mboga 22 Machi, 2022

    Kwa niaba ya Wananchi wako wa Chalinze mimi mtumishi wao Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ninakukaribisha Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Jimboni kwetu kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi-Chalinze-Mboga wenye thamani ya Billioni 18. Tumejiandaa kukupokea na...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah. Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

    Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine. Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa...
  20. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania mpya kupitia Rais Samia Suluhu

    Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
Back
Top Bottom