Rais wa Ukraine kumbe ni myahudi?

Rais wa Ukraine kumbe ni myahudi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,328
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake.

Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi.

Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka isinipite kizembe hivihivi .

Mungu wa kweli ailinde na kuibariki Ukraine.

Janjaweed Da'Vinci
 
Muanzilishi wa Whatsapp Jan Koum pia ni myahudi wa Ukraine aliyehamia Marekani akiwa mdogo.

Ukija huku Google unakutana na myahudi mwengine Sergei Brim aliyehamia Marekani kutoka Urusi.

Ukija tena Facebook myahudi mwengine Mark Zugerberg.

Ukija Uber ni myahudi mwengine tena.

Ukiha Coca cola na Pepsi ni wayahudi waanzilishi.

Yani mibaraka imesambaaa na kuzagaa kila kona.

If you bless them you will be blessed if you curse them you will be cursed
 
Mfalme zumaridi nae ni myahudi wa ngudu kwimba.
 
Muanzilishi wa Whatsapp Jan Koum pia ni myahudi wa Ukraine aliyehamia Marekani akiwa mdogo.

Ukija huku Google unakutana na myahudi mwengine Sergei Brim aliyehamia Marekani kutoka Urusi.

Ukija tena Facebook myahudi mwengine Mark Zugerberg.

Ukija Uber ni myahudi mwengine tena.

Ukiha Coca cola na Pepsi ni wayahudi waanzilishi.

Yani mibaraka imesambaaa na kuzagaa kila kona.

If you bless them you will be blessed if you curse them you will be cursed
Futa sentensi ya mwisho maisha hayapo hivyo!. Pepsi coca sio bless hizo bali vyanzo vya sukari tu.
 
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake.

Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi.

Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka isinipite kizembe hivihivi .

Mungu wa kweli ailinde na kuibariki Ukraine.

Janjaweed Da'Vinci
Nilimsikia jamaa mmoja anasema kitu pekee alichofanikiwa Israel ni kuufanya mgogoro wake na Palestina uonekane wa kidini kiasi kuna mataka lakini pale hakuna mgogoro wa kidini ila kuna mgogoro wa ardhi!

Warusi wengi pia wanavinasaba na Wayahudi, Benjan Netanyau Waziri Mkuu mstaafu wa Israel alikuwa anafanya safari za Moscow kila baada ya miezi 4, Roman Abramovich aliponyimwa Visa ya kuishi Uingereza aliamua kwenda kuishi Israel cos ana vina saba na Wayahudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muanzilishi wa Whatsapp Jan Koum pia ni myahudi wa Ukraine aliyehamia Marekani akiwa mdogo.

Ukija huku Google unakutana na myahudi mwengine Sergei Brim aliyehamia Marekani kutoka Urusi.

Ukija tena Facebook myahudi mwengine Mark Zugerberg.

Ukija Uber ni myahudi mwengine tena.

Ukiha Coca cola na Pepsi ni wayahudi waanzilishi.

Yani mibaraka imesambaaa na kuzagaa kila kona.

If you bless them you will be blessed if you curse them you will be cursed
Aisee
 
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake.

Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi.

Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka isinipite kizembe hivihivi .

Mungu wa kweli ailinde na kuibariki Ukraine.

Janjaweed Da'Vinci
Namuunga mkono sana tu Aisee
 
Yaani wew ndo umejua leo, uko nyuma sana
 
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake.

Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi.

Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka isinipite kizembe hivihivi .

Mungu wa kweli ailinde na kuibariki Ukraine.

Janjaweed Da'Vinci
Wayahudi walichowafanya mpaka mnawaabudu hivi sijawahi kuelewa.
Hii dunia ina ajabu kweli
 
Back
Top Bottom