Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,063
4,058
Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu.

Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana.

Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na ambazo ni kinyume na sheria ya nchi kwani mamlaka ambazo magari yake yanaruhusiwa kuwa na vibao vya namba vyenye rangi nyeusi ni Polisi na Jeshi tu, lakini hawa wameweka kwenye gari yao ya kutembelea na wanatembea mji mzima bila kukamatwa na trafiki wala kubughudhiwa na yeyote.

Hii sio kwamba inadhalilisha jeshi la polisi tu, ila hii aibu inamhusu mama Samia Suluhu Hassan moja kwa moja kwa kushindwa kuwasimamia polisi wake.

Wito wangu kwenu jeshi la polisi, timizeni wajibu bila ya kumuogopa mtu wala kumuangalia usoni.

20220303_182249.jpg

20220303_182115.jpg
 
Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu.

Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana.
Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na ambazo ni kinyume na sheria ya nchi kwani mamlaka ambazo magari yake yanaruhusiwa kuwa na vibao vya namba vyenye rangi nyeusi ni Polisi na Jeshi tu, lakini hawa wameweka kwenye gari yao ya kutembelea na wanatembea mji mzima bila kukamatwa na trafiki wala kubughudhiwa na yeyote.

Hii sio kwamba inadhalilisha jeshi la polisi tu, ila hii aibu inamhusu mama Samia Suluhu Hassan moja kwa moja kwa kushindwa kuwasimamia polisi wake.

Wito wangu kwenu jeshi la polisi, timizeni wajibu bila ya kumuogopa mtu wala kumuangalia usoni.View attachment 2138498

View attachment 2138497
Ukute kashawatia mfukoni mwake!
 
Sasa Rais anaingiaje hapa? Sio kila kitu Rais ahangaike nacho hio ni issue ya traffic police tu.
 
Namba za kawaida mbona sema no Kama wamespray rangi nyeusi na wanaacha njano kidogo ili kujifanya namba zionekane.

Hii ni kosa na polisi wanawaacha tu hao wahuni.
 
Mfano halisi wa chuki binafsi, hivi hii plate number ina muaibisha vipi Mama yenu?
 
Back
Top Bottom