rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

    Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais tunaomba usikilize vilio vya watanzania, mfumuko wa bei ni mkubwa mno

    Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni mkubwa mno. Ukiuliza kila kitu unaambiwa ni sababu ya vita ya Ukraine na Urusi. Sio kweli...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru atoa neno baada ya bodaboda kumbaka Bibi Mzungu

    Baada ya boda boda mmoja domo zege huko Kenya kufanya yake, rais Kenyatta amelazimika kutoa somo: "Kama uko na haja na mtoto omba pole pole." Amesikika Kenyatta. Kwa hakika rais huyu hajawahi kuishiwa masomo kwa hadhira zake. Ikumbukwe Dodoma hakutuacha bila bila na mambo ya azana. ========...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu ni self service." Nani anasema tatizo letu si katiba? Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Shaka kuongoza iftar maalum ya mayatima na wajane kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA. Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha...
  8. JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  9. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kuiba bango lenye picha ya Rais Samia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atoa onyo kwa watakaopandisha bei ya bidhaa Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
  14. JamiiForums Tanzania Mawaziri msaidieni Rais, ndiyo maana amewaamini

    ELIMU ITOLEWE ZAIDI JUU YA MFUMKO WA BEI NA KATIZO LA UMEME. Na Elius Ndabila 0768239284 Kesho macho na masikio yatakuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM. Kabla ya mkutano huu mkubwa ninaomba nitoe changamoto kwa Wizara ya Nishati, Kilimo na Biashara. Kumekuwa na katizo la umeme. Waziri...
  15. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
  16. JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

    Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa. Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi, Mengine ni kutufanya sisi "kindergarten"

    Habari wanajamvi, "Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi" Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana, Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…