rais

  1. JamiiForums Tanzania Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

    Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Shaka kulazimisha msifie chochote juu ya rais Samia naona sasa watu wanaropoka hovyo tu. Huko nyuma watalii walikuja kulikuwa hakuna usalama?

    Mtu akiteuliwa kwa kubebwa haya ndio madhara yake sasa. 👇
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

    21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum. Agenda nyingi zitajadiliwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

    Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

    HABARI, Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa. Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Kwanza naomba mnielewe ili ni swali tu nimeuliza, hivyo naomba mnieleweshe maana mi ufahamu wangu umekomea hapo, Rais samia hii nimeona ni mara ya pili, mara ya kwanza alipofatwa kuhojiwa ikulu na Tido, niliona anakuja na msafara, jana pia hivyo hivyo wameenda ikulu wadau wa CHADEMA...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

    1. Upatikanaji wa katiba mpya. 2. Tume huru ya uchaguzi, 3. Zuio la mikutano ya hadhara. 4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. 5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum. 6. Suala la ruzuku, 7. Usawa wa vyama vya siasa, 8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa. 9. Wakimbizi...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu wa Rais Samia alisomea combination gani?

    Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three. Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

    Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Wakuu, Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania? UPDATE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
  11. JamiiForums Tanzania Rais samia anaonyesha utawala bora kwa vitendo

    RAIS SAMIA ANAONYESHA UTAWALA BORA KWA VITENDO. Na Elius Ndabila 0768239284 Moderator ninakumbuka kuna mtu hapa jamii forum aliwahi kuuliza, nani anajua anakotupeleka Rais Samia? Ninaomba mtag andiko hili kwa kuwa Rais Samia anatupeleka sehemu yenye mwanga mkubwa wa Umoja wa Kitaifa. Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani

    Rais Samia afanya teuzi mbalimbali za Wenyeviti wa Bodi/Baraza la Chuo na Watendaji Wakuu wa Taasisi. Balozi Sefua na Eliachim Maswi ndani
  13. JamiiForums Tanzania Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

    Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:- 1. Wavivu 2. Wezi na sio waaminifu 3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi. Sasa kwa sifa hizo mbali na kwamba tuna kila kitu ni Ngumu sana kuendelea labda tupate EITHER Katiba inayong'ata watu...
  16. JamiiForums Tanzania Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

    Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

    Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza. Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda. CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia akishiriki mkutano wa hadhara uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo tarehe 19 Mei, 2022. Ria Samia yupo mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi kwa siku 3, tangu aanze ziara hii amefanya uzinduzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…