rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

    Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wapaa, wachumi wamsifu Rais Samia

    Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu huku wakisema ukuaji huo ni dalili njema inayodhihirisha kuwa nchi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  7. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili. Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
  8. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2. Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa. Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au hierarchy of presidency) kwa JMT. Mataifa ya wenzetu kama US wao kutokana na muvi zao na kuwa wawazi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa ndondi afuta pambano la Mandonga

    Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho. Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya referee kutochezesha pambano kwa usawa, ikiwemo kutomuhesabia Mandonga alipoangushwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

    Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati. Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa China awekwa katika kizuizi cha nyumbani

    Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
  17. JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya Rais Samia kukaa Msumbiji kwa siku 4

    Habari zenu marafiki na maadui zangu, Cheo cha Urais Tanzania siku zote kimekuwa ni cheo cha 'Rais Mtendaji' na siyo 'Ceremonial President' (msaada wa tafsiri ya Kiswahili). Hata Marais kama Kikwete na Mwinyi ambao kidogo walichukua mlengo wa kuacha mambo yajiendeshe tofauti na Marais wengine...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi yanayotekelezwa kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…