rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi mpya wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake, leo Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  4. JamiiForums Tanzania Gambia: Rais asema kila aliyehusika na dawa zilizoua watoto 66 atashughulikiwa ipasavyo

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Rais, tayari Polisi wameanza kuwahoji maafisa wa Idara ya Udhibiti wa Dawa (MCA) na waagizaji Dawa zinazotajwa kusababisha vifo hivyo. Kwenye taarifa ya Ikulu, Rais Adama Barrow amesema tayari wamefuta leseni za waagizaji wa dawa waliotuhumiwa kwenye sakata hilo na...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maovu ya kuuana, kudhulumiana bado yapo Nchini, tuyakemee

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Maulid kitaifa leo tarehe 09 Oktoba, 2022 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam Samia Suluhu Hassan - Rais Sina shaka tutakwepa pamoja, na waziri wa Afya yupo hapa, tutakwenda pamoja kwenye...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi atembelea na kukagua miradi ya barabara na madaraja iliyojengwa kwa fedha za Serikali

    DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kupambana na adui watatu wa Mtanzania

    Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu. Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
  8. JamiiForums Tanzania Je unataka kibali na upendeleo kutoka kwa rais? Fuata mbinu hizi rahisi za Kibiblia

    Angalizo:- Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais. KIBALI:- Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Party ya Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete akitimiza miaka 72, Oktoba 7, 2022

    Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
  10. JamiiForums Tanzania Oktoba 7 ni birthday ya Rais Putin na Rais mstaafu Kikwete!

    Hongera kwa siku ya kuzaliwa kwa viongozi hawa.
  11. JamiiForums Tanzania Sukuma gang ni kina nani?

    Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Tabaka la elimu Tanzania litatumaliza, Rais, Waziri wa Elimu tufanyeni jambo hili kwa kasi laweza saidia

    Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna Kama watanzania hasa kwa vijana wetu katika level tofauti za elimu nchini hasa huku chini kwenye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yaliyofanywa na Rais Samia yanayowagusa Walimu na Jamii kwa ujumla

    Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo; 1.Ujenzi wa Shule mpya za...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Biden aagiza kuachiwa mapipa milioni 10 ya mafuta baada OPEC kutangaza kupunguza uzalishaji

    Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia. OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye daladala huko Kenya

    Habari wakuu, Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi Samia huko Kenya? Au Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  18. JamiiForums Tanzania Na kule Madagascar, dawa hii anagawa Rais mwenyewe

  19. M

    JamiiForums Tanzania MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

    MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu. Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

    Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila? Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…