rais

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

    MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
  2. yahoo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Club African na Bodi ya Wakurugenzi wajiuzulu

    Kufuatia matokeo ya kichapo kutoka kwa Yanga, Rais wa Club Aficain na Bodi ya Wakurugenzi wametangaza kujiuzuLu kupitia mitandao yao ya kijamii. Daima mbele, nyuma mwiko!
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia Naibu Rais kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 139

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameruhusiwa kuondoa kesi ya Tsh. Bilioni 139.8 dhidi ya Richathi Gachagua huku Mahakama ikionya kuwa anaweza kukamatwa tena iwapo ushahidi utapatikana. Ofisi ya DPP Noordin M. Haji ilituma maombi ya kufuta kesi hiyo kwa madai ya kufunguliwa kwa shinikizo la DCI...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana mchezo wala subira kwa atakayechezea fedha za umma

    Ndugu zangu Rais Samia anahangaika huku na kule kutafuta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo, anahangaika kila mahali kutafuta wawekezaji , anashindwa kupata hata muda wa kupumzika na Familia ili kuona watanzania wanapata huduma Bora na karibu kabisa ya makazi yao...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  8. Kalebejo

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuingia kwenye Orodha ya Madikteta?

    Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais. Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili vya urais linamwekea mtego Rais Ruto wa kuingia katika orodha ya marais wa Afrika ambao wamekatalia...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

    Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa COP27 nchini Misri. Awakutanisha marais 11 kujadili umeme

    Leo tarehe 07 Nov. 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania alishiriki mkutano wa 27 wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huo umefanyika kwenye mji wa Sharm El Sheikh. Rais Samia ameambatana na Waziri wa mambo ya nne na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Tax. --- Rais...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

    Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

    Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame atuma Salamu za Rambirambi

    Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi. Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  19. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

    Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin ataendelea kuwepo madarakani. Taarifa hizo zimevuja kutoka kwenye timu iliyoundwa mahususi kwa ajili ya...
  20. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya...
Back
Top Bottom