rais

  1. JamiiForums Tanzania Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

    Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo? Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya makusudi tu

    Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Yusuph alimwambia mtawala wa Misri wajenge maghala ya chakula, Bashe anamwambia Rais wauze chakula

    Yusufu Mwana Wa Yakobo alipoitwa kutafsiri ndoto ya Mfalme wa Misiri, pamoja na kutafsiri ndoto lakini alimwambia Mfalme kuwa, kutakuwa na njaa na katika nchi basi tujenge maghala ili tutunze chakula. Huyu wa kwetu hapa, Bashe anashauri chakula kiuzwe nje ya nchi. Baadae atamwambia tena...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Hayati Magufuli kinataka kumtingisha Rais Samia

    Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku zake chini ya jua huwa zina mwisho hata afanye mema mengi kiasi gani. Kipindi chote cha msiba wa...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Mark Mwandosya kuwa Rais kwa kipindi kimoja, Roho Mtakatifu amenituma niseme

    Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana. Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

    "Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Rais Samia kuimarisha huduma za kibingwa bobezi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Mpango...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji na DAWASA wanampotosha Rais

    Wakati Mhe. Rais anafungua mradi wa maji kule Kigamboni hivi karibu, Ndugu Juma Aweso alitamka mbele ya Mhe.Rais kwamba kuanzia siku ile jiji la Dar es Salaam linapata maji kwa 100%. Alitoa kauli hiyo huku akijifananisha na Kocha wa Yanga alivyopindua meza Tunis. Wakati wa hotuba yake mama...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

    Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi. Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
  12. JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais John Pombeo na David Albert (sehemu ya pili)David Albert alivyomtapeli Rais John Pombeo

    Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na kupachika watu wake,akatengeneza serikali kivuli isiyo rasmu ndani ya serikali yake. David Albeet Basheet...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

    Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Wakuu habari za mchana? Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
  15. JamiiForums Tanzania Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa. Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo. Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafahamu changamoto ya umeme nchini, tuombe mvua zinyeshe. Hata yeye anaumia

    Ndugu zangu kumekuwa na malalamiko juu ya changamoto ya umeme Hapa Nchini, Hali iliyosababishwa kwa kiasi kikubwa na Hali ya ukame iliyoikumba nchi yetu na kupelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalishia umeme, Sote tunafahamu umuhimu wa umeme katika uchumi wetu, umuhimu...
  18. JamiiForums Tanzania RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Ramaphosa atajiuzulu kama atakutwa na hatia ya utekaji na ufisadi

    Vincent Magwenya, Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa amesema tuhuma za kuficha Mabilioni ya Fedha shambani kwake zikithibitishwa kuwa na ukweli Rais atawajibika. Hata hivyo amemtetea kwa kusema kuwa "Kwa hali ilivyo hakuna mashtaka ya jinai dhidi ya Rais, mnachokisikia ni msururu wa taarifa za...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wanategemea kuona ukali wa Rais Samia katika kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri leo

    Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo: 1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…