rais

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maagizo 9 aliyotoa Rais Samia kwenye ziara yake Mkoa wa Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo tisa katika ziara yake mkoani Manyara ikiwemo kusisitiza kwamba 1. Serikali itaendelea kukopa kwa lengo la kuchochea maendeleo ya haraka. na alisema kuwa maendeleo ni gharama na kuyafikia kunahitaji njia mbili ambazo ni kodi na mikopo hivyo alitutaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

    Kwani kuna nini huko? Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani? Kuna kitu hakiko sawa huko? Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Sasa kalewa madaraka?

    Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure? Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Miaka ipi Watanzania mlikuwa mnapata vitu bure? Kwa mujibu wa Rais Samia

    Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia? Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

    Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu! Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

  7. JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye: Samia anaandaa Tanzania ya kesho

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa ya kuandaa Tanzania ya kesho. Sumaye alisema hayo jana katika Kata ya Bonga, mkoani Manyara wakati alipopewa nafasi na Rais Samia ya kusalimia wakati msafara wa Rais uliposimama hapo akiwa njiani kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia pamoja na changamoto zote lakini utashinda kwa ushindi mkuu

    Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaelewa kazi kubwa uliyonayo. Tunaelewa lawama unazobeba kwakua ndiye Rais wa taifa letu. Tunaelewa kazi kubwa unayofanya ya kututafutia fedha za miradi nje ya nchi. Tunaelewa jinsi ilivyo kazi kutafuta Fedha yoyote ile iwe ya mkopo au ya msaada...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanasiasa tuache kuchochea Migogoro ya Ardhi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara katika Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Kwaraa leo tarehe 23 Novemba, 2022 SEHEMU YA HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SAMIA SULUHU HASSAN Kilimo, Mabadiliko ya...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi milioni 500 za Rais Samia zinavyotafunwa Halmashauri ya Ikungi-Singida

    Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU. 👇👇 Nawasalimu sana wandugu. Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali ya Rais Samia kuhusu akiba ya Chakula Nchini

    Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

    Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda. Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  16. JamiiForums Tanzania Ni lini Makamu wa Rais wa Hayati Magufuli alimkana Magufuli ili awe Tofauti na Dkt. Bashiru nyakati za Magufuli?

    Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo. Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana. Polepole alikuwa na Warioba...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

    Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto.. Kenyan President William Ruto on Monday said the East African Community (EAC) troops deployed in the Democratic Republic of Congo would ‘enforce peace’, not ‘keep’...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…