Ni lini Makamu wa Rais wa Hayati Magufuli alimkana Magufuli ili awe Tofauti na Dkt. Bashiru nyakati za Magufuli?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,408
11,051
Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo.

Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya matendo ya Rais Magufuli kuliko Makamu wake. Mikutano ya hadhara mnayo?Bunge live lilianza march 18 2021? Katiba mpya ipo? Mishahara imeongezwa, wasiofaa wanatumbuka? CCM ya sasa ni ya fursa sawa Kwa wote? Wenye vyeti fake je? Makamu hakuwepo?

Tuache ujinga wa kujizima data na kusahau hata muundo wa serikali na dhamana zake, Mkitaka kuyakana na kuyakebehi ya Magufuli anzeni na Makamu Rais wa Magufuli.

Amueni moja funika Kombe mwanaharamu apite, yaliopita si Ndoige tugange yajayo?

Mtumikie mfalme ili upate mtaji wako.

Yote alofanya Dr Bashiru alifanya Kwa niaba ya CCM na Serikali yake hana anything kuhusu individual burden hana

Acheni upumbavu wa kujizima data. Tukubali kuanza upya tukubali kuwa nyakati ni nyakati hazijawahi kuwa sisi, sisi ni sisi na nyakati ni nyakati sisi tutabaki kuwa sisi

Sisi ni sisi na nyakati ni nyakati. Mimi ni mimi na nyakati ni nyakati tu.

Dr. Bashiru ni Dr.Bashiru tu, Ukatibu wake wa CCM ni nyakati kama nyakati tu.

Kichaka Chochote hakitazuia mimi nisiwe mimi kichaka ni kichaka tu.
 
Unataka ku establish nini?
 
Ni wajibu wako msomaji kujibu hisia, ufahamu, maoni, uelewa wako na sio lazima unielewe. Mwenye upeo kama wa Dr. Bashiru ataelewa tu
My question is a very central question in evidence! Factum Probandum
 
Asante, ujumbe umepokelewa kikamilifu
Wewe umebahatika kuelewa kilichoandikwa hapa? Je kichwa cha habari umekielewa pia?
Ni lini Makamu wa Rais wa Hayati Magufuli alimkana Magufuli ili awe Tofauti na Dkt. Bashiru nyakati za Magufuli?

Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo.

Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya matendo ya Rais Magufuli kuliko Makamu wake. Mikutano ya hadhara mnayo?Bunge live lilianza march 18 2021? Katiba mpya ipo? Mishahara imeongezwa, wasiofaa wanatumbuka? CCM ya sasa ni ya fursa sawa Kwa wote? Wenye vyeti fake je? Makamu hakuwepo?

Tuache ujinga wa kujizima data na kusahau hata muundo wa serikali na dhamana zake, Mkitaka kuyakana na kuyakebehi ya Magufuli anzeni na Makamu Rais wa Magufuli.

Amueni moja funika Kombe mwanaharamu apite, yaliopita si Ndoige tugange yajayo?U

Mtumikie mfalme ili upate mtaji wako.

Yote alofanya Dr Bashiru alifanya Kwa niaba ya CCM na Serikali yake hana anything kuhusu individual burden hana

Acheni upumbavu wa kujizima data. Tukubali kuanza upya tukubali kuwa nyakati ni nyakati hazijawahi kuwa sisi, sisi ni sisi na nyakati ni nyakati sisi tutabaki kuwa sisi

Sisi ni sisi na nyakati ni nyakati. Mimi ni mimi na nyakati ni nyakati tu.

Dr. Bashiru ni Dr.Bashiru tu, Ukatibu wake wa CCM ni nyakati kama nyakati tu.

Kichaka Chochote hakitazuia mimi nisiwe mimi kichaka ni kichaka tu.
Naona umejoin tarehe 10 November. Karibu JF uone mambo na kama ulikuwa unasoma unapita sasa naona umeona utoe yako. Kama wewe ni kaka Bashiru karibu nawewe tukusikie na ujitetee kama wewe.
 
We nae na mungu mtuwako uyo si mfungue dini na bashiru awe mchungaji ili mueneze mambo mema alofanya uyo dikteta jambazi wenu
Kla sku Hoja ni mungu mtu killer muuaji mwizi wa uchaguzi mvunjifu wa amnai
Muua uchumi ebu mpumzisheni mungu mtu weno ashaoza ashaku mifupa
 
Back
Top Bottom