rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

    Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria. Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana. SG na...
  5. JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ikulu yetu haina taarifa za Rais zaidi ya picha zake na wazungu?

    Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais kasimama na huyu, akiwa mkutanoni, anapewa zawadi, n.k. Hatusikii kazungumza lipi na nani la...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni kwenye Ziara ya Makamu wa Rais Kahama

    Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi. Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu. Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: El Chapo amuomba Rais amrejeshe Mexico

    Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sauti za Wananchi: Rais Samia amebadilisha maisha yetu

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023. Katika mkutano huo...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia imenoga na kuvutia

    Ndugu zangu watanzania, Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana anayemaliza kidato Cha nne na sita anao uhakika wa kutimiza Ndoto zake za kielimu,vyama vya upinzani...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019. Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi.
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kulikuwa na jaribio la kumteka, kumuua Wafula Chebukati

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022. Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…