rais

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ikulu yetu haina taarifa za Rais zaidi ya picha zake na wazungu?

    Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais kasimama na huyu, akiwa mkutanoni, anapewa zawadi, n.k. Hatusikii kazungumza lipi na nani la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni kwenye Ziara ya Makamu wa Rais Kahama

    Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi. Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu. Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani: El Chapo amuomba Rais amrejeshe Mexico

    Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sauti za Wananchi: Rais Samia amebadilisha maisha yetu

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023. Katika mkutano huo...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

    Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia. Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow. “Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia imenoga na kuvutia

    Ndugu zangu watanzania, Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana anayemaliza kidato Cha nne na sita anao uhakika wa kutimiza Ndoto zake za kielimu,vyama vya upinzani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo utekelezaji ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019. Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kulikuwa na jaribio la kumteka, kumuua Wafula Chebukati

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema mazingira hayo yalikuwa yanamhusu Mwenyekiti huyo wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati wakati wa uchaguzi wa Agosti 2022. Amesema "Tunajua mpango huo ulikuwepo ili kuimaliza nguvu tume, ulikuwa wakati mgumu, baridi na upweke, vitisho...
  15. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mabovu yapo, ila Rais Samia Suluhu kajenga madarasa mengi

    Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo. Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake; - Katika kipindi kisichozidi miezi 20, Rais Samia kajenga madarasa 23,000. Ina maana ndio ujiulize kama asingejenga...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

    Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia. Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili. Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya...
  17. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

    Wana JF salaam, CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuruhusu usawa kwenye elimu

    Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Panga Pangua ya Rais Samia yatanda serikalini

    Joto kwa wateule wa Rais linazidi kupanda baada ya mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha kuunda safu ya uongozi wa juu wa chama hicho huku akiendelea kutimiza ahadi yake ya kuisuka upya Serikali. Kufuatia ahadi hiyo ambayo haijulikani ukomo wake, baadhi ya wateule wanaishi kwa...
  20. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

    Great Thinkers, Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania. Rais Dkt Samia ameendelea kupanga...
Back
Top Bottom