Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,811
- 4,533
Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani.
"Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa kisheria wa Mexico.
Kwa mujibu wa kituo cha habari ‘Mexico News Daily’ wameeleza kwamba ujumbe huo, uliofafanuliwa kama "SOS," ulipitishwa kupitia mmoja wa mawakili wa Guzman nchini Marekani pamoja na familia yake.
Guzman amemuomba Rais Andres Manuel Lopez Obrador kushughulikia madai ya ukiukaji wa taratibu wakati wa kurudishwa kwake mwaka 2017 chini ya serikali ya zamani.