rais

  1. JamiiForums Tanzania TUCTA Yampongeza Rais Samia

    SHIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi (TUCTA), limempongeza Rais Dk. Samia Suluhu. Hassan kwa mabadiliko na maboresho makubwa kwa wafanyakazi wa sekta binafsi na umma, ikiwemo kuogeza kiwango cha mshahara kwa mwaka ambacho kilikuwa hakijaongezwa kwa miaka tisa iliyopita. Pia, TUCTA imemshukuru...
  2. JamiiForums Tanzania Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

    Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza utalii wa ndani ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora zenye gharama nafuu kwenye vivutio hasa huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba ushughulikie Malipo ya Wastaafu Kiwanda cha Karatasi Mgololo

    Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania 100%, chini ya shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), kwasasa kinamilikiwa na kampuni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania DC Ileje atoa neno kwa Wafanyakazi na shukrani kwa Rais Samia.

    Salamu za Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe. Farida Mgomi
  6. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakaribisha nchini Mawaziri wa michezo wa nchi 14

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
  10. JamiiForums Tanzania Miradi ya uwekezaji nchini imeongezeka kwa 16.5 ndani ya Mwaka chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, bungeni hii leo Mei 04 2023 Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanikisha Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bure

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wa rais Mstaafu Zambia, Esther Lungu katika kashfa nzito ya $400,000

    Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, 3 Mei 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Rais kuteua Majaji kunaathiri Uhuru wa Mahakama

    UTANGULIZI Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 109, majaji wote wanateuliwa na Rais ambaye ni kiongozi mkuu wa Serikali na kiongozi mkuu wa chama dola, serikali na Mahakama ni miongoni mwa mihimili mitatu ya serikali bila kulisaghau Bunge, mihimili hii kila mmoja...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs

    Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania - NGOs * Wampongeza kwa uongozi wa kimageuzi Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwakilishi wa Wafanyakazi nchini ampongeza Rais Samia kwa kujali Maslahi ya Watumishi nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate kufuatia Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amempongeza Rais Samia kwa kutoa hotuba iliyozidi kuleta matumaini mazuri kwa wafanyakazi wote nchini. Mhe...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Mwinyi, Rais Samia Uko Wapi?

    Katika hotuba zenu za Mei Mosi jana kuna suala sugu sana ambalo Rais Mwinyi amelikumbuka lakini mama Samia hakuligusia hata kidogo. Ni Suala la PENSION ZA WAZEE WASTAAFU WALIPWAO NA HAZINA. Serikali ya Mapinduzi imetangaza bila chenga kupandisha viwango vya pension kwa 100% lakini huku kwetu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni lini tutaacha Kumsimanga Hayati Magufuli na kumuonesha kuwa hakuwa Rais mpenda Watanzania?

    "Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro. Chanzo: Mitandao ya Tanzania Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…