rais

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango aweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya Mianzini - Olemringaringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha - Timbolo

    Katika kuboresha miundombinu ya barabara, Serikali kupitia TANROADS imeendelea kutekeleza miradi kabambe na muhimu ya Maendeleo ya barabara Sehemu mbalimbali Nchini, ikiwemo katika Jiji la Arusha, ambapo Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango ameweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa barabara ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nashauri motisha ya Rais itolewe kwa timu za taifa na siyo vilabu

    Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na wanamichezo wanaoenda kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya olympiki ili wajitahidi kupata medali...
  4. JamiiForums Tanzania Rungwe wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Milioni 970 za ujenzi wa shule

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan apongezwa kwa kutoa kiasi cha Shilingi 970,600,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa Boost katika Kitongoji cha Kibumbe Mkoani Mbeya. Afisa Elimu Msingi wa Rungwe, Juma Mwanjobe amesema “Tumekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  6. JamiiForums Tanzania Ninampongeza Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Anaupiga mwingi. Kila Hilo 20milion, Hawa wanao wametoka shule waangalie Usafiri wao.
  7. JamiiForums Tanzania Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa ndege Maalum itakayowapeleka Timu ya Yanga kwenye mchezo wa Fainali nchini Algeria pamoja na zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli kwenye mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho barani Afrika. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alivyomkaribisha mtoto wa miaka 8 kukalia kiti cha Rais

    Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais). Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi...
  10. JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Great thinkers, Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia alivyomkalisha kwenye Kiti chake Mtoto mwenye Ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Kariakoo inahitaji Baraza maalum la Biashara ambalo litakuwa na hadhi ya Mkoa

    Nchi hii Ina Mabaraza ya biashara, kuanzia ngazi ya wilaya,mpaka taifa, kwa kuwa tumeamua kwamba kariakoo ndio Dubai yetu, namshauri Mh. Rais kwamba atoe hadhi maalum kwa kariakoo iwe na hadhi ya Mkoa katika muundo wa Baraza la Biashara la Taifa. Hii itasaidia kutatua changamoto kwa wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza Yanga kwa kutinga Fainali za CAF Confederation Cup

  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

    Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa amewaacha wafanyabiashara Kariakoo na matatizo yao bora angeenda Rais Samia Suluhu

    Nimefuatilia kikao cha waziri mkuu leo na wafanyabishara kuhusu mgogoro wa kariakoo nimesikitika sana. Licha ya kwenda na Mawaziri na Timu ya wataalamu wa Wizara mbalimbali ameshindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wa Kariakoo. Amepata fursa ya kuwasikiliza wafanyabiashara siku nzima ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, Ikulu Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

    Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu. Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
  19. JamiiForums Tanzania Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nia njema ya Rais Samia isitiwe matope

    Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden ni tamaa ya kutaka kuwa sawa na Mungu. Licha ya Mungu aliyewaumba kuwapa kila kitu, lakini aliwapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…