Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,329
12,626
Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali.

Hapa pa kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali ndipo paliponifikirisha sana mm. Nikajiuliza kumbe Mama pia anafahamu kile TFF inachokifanya kwa Yanga? Anajua TFF haiongelei vizuri Yanga? Kumbe Rais wetu ni mwanamichezo kindakindaki!!

TFF jamani msisuburi hadi Rais wa nchi aseme!!! Mama asingeyasema Yale kama yasingekuwepo hapo TFF.
 
Kwenye ubora wao UTO
USM ALGER DAMU
BA NTWA
Rais ameshaagiza hivoo!! Kumbe hata Rais wa nchi anafahamu basi kesi imeisha. TFF ni mama wa timu zote, kama timu yake moja ikifanya vizuri kimataifa timu hiyo inapata, TFF inapata, nchi inapata na hata siasa zetu zinapata pia. TFF isisubiri mkuu wa nchi aagize kuhusu hili ni wajibu wao.

Kuiongelea vizuri Yanga maana yake TFF ifanye nini ili ionekane kuwa inaiongelea vizuri Yanga?
 
Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali.

Hapa pa kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali ndipo paliponifikirisha sana mm. Nikajiuliza kumbe Mama pia anafahamu kile TFF inachokifanya kwa Yanga? Anajua TFF haiongelei vizuri Yanga? Kumbe Rais wetu ni mwanamichezo kindakindaki!!

TFF jamani msisuburi hadi Rais wa nchi aseme!!! Mama asingeyasema Yale kama yasingekuwepo hapo TFF.
Ningeshangaa Mama asijue vitendo vya Karia.
 
Imagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida
 
Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kuitaka TFF walitolee ufafanuzi suala hilo, ni vizuri kama amekuja kuliongelea maana ni wajibu wao pia. Furahieni mafanikio yenu ila acheni upotoshaji na ubishi usio na maana.
 
Imagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida
Hakina Msomali na wenzake ni wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka
 
Imagine kwenye mazungumzo na ivona Karia akaona ndio mahali pa kukumbusha kuwa Simba ndio ya kwanza kufika final ya hili kombe huku akijua wazi au pia inawezekana hajui kuwa hili ni kombe tofauti kabisa
Na media nyingi kwa Sasa wameelekeza bidii kuonesha kuwa kilichofanywa na Yanga ni kitu Cha kawaida
Hahahaha, ili mradi ngoma iwe draw
 
Back
Top Bottom