benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Mtoto Georgina Magesa (8) ametimiza ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kumpatia zawadi ya kitabu, huku tukio hilo likivuta hisia za watu wengi baada ya Rais Samia kumkalisha mtoto huyo katika kiti chake (Kiti cha Rais).
Hayo yametokea leo Alhamisi Mei 18, 2023 katika uzinduzi wa minara 21 ya kurushia matangazo ya televisheni ardhini (DTT) ya kampuni ya Azam Media.
My Take:
"Tendo hili ni motisha kubwa kwa mabinti wa kitanzania kuwa inawezekana siku moja kufikia ndoto zao wakijituma na kujibidiisha"
Video Credit Mwananchi