rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana maisha marefu ya kisiasa kwa sababu hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi. Unaweza kuukataa ukweli lakini hata kama ukiukataa hakuwezi kuubadilisha kuwa uongo. Mwl. Nyerere aliwahi kusema, “Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali...
  3. JamiiForums Tanzania Hili la Former NBC Premier League MVP Bangala kwenda Azam FC tunamuomba Rais wa Yanga SC atuachie Yanga SC yetu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake. Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga na Ruto kufanya mazungumzo chini ya Rais Mstaafu Olesegun Obasanjo

    Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
  5. JamiiForums Tanzania Nia ya mheshimiwa Rais ni njema, turekebishe mapungufu yaliyoonekana ili DPW aanze kazi haraka hapo bandarini.

    Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH. Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao. Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kamsamba Amepongeza Rais Samia na Mbunge Condester kwa Kupeleka Milioni Mia Tisa za Miradi ya Maendeleo

    DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwaze mrejereo: Hivi DP World ingeletwa na Magufuli ingepingwa?

    Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar. Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

    Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia! Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA. Chuma hiki hapa kimeonekana kimetua Oman jana...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  10. JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu wamuombea dua Rais Samia

    MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dua hiyo imefanyika leo (Julai 28,2023) ikifanyika katika kipindi ambacho Rais Dkt. Samia anaungwa mkono...
  11. JamiiForums Tanzania Huu hapa ushahidi wa uchokozi wa Maaskofu kwa Rais Samia

    Friends and Our Enemies. Naomba kunukuu; "Nchi hii tunajua kuna genge lipo linaongoza hii nchi, genge hilo lipo halifanyi kazi, halina shamba, halipandi wala halivuni, genge hilo ndilo linamuamrisha Rais hiki fanya, hiki usifanye, hilo genge liache mara moja." Mwisho wa kunuu, na hotuba...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tumeacha kutetea bandari zetu sasa tunatetea mwekezaji muislam, waziri muislam na rais muislam!

    Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake rangi ya dini flani utaona mara moja watazuka watu na kulitetea kwa nguvu zao zote kwasababu tu jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Putin amzawadia Rais wa Zimbabwe Helikopta

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amemzawadia mwenzake wa Zimbabwe helikopta ya Rais, kwa mujibu wa wizara ya habari ya Zimbabwe. Zawadi hiyo itatolewa hivi karibuni, taarifa hiyo iliyowekwa kwenye mitandao ya kijamii imesema. Rais Emmerson Mnangagwa anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Urusi na Afrika...
  14. JamiiForums Tanzania Mpango wa DP World: Kosa lisilo na ulazima na serikali ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri? Nakumbuka...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mhe. RAIS, Rudi tena RITA! Ukiritimba wa Huduma ambayo ilipaswa iwe BURE

    Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu. NARUDIA! "Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Kenya yakanusha kwenda kwa Rais Samia kama msuluhishi

    Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi. --- Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro unaoendellea, Msemaji wa Serikali ameibuka na kukana suala hilo. Soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais ni mtumishi wetu tunapaswa kumkemea, kumkosoa na kumsema. Lazima tushughulike nae kisiasa

    Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli aliyoitoa haina tatizo kidogo na anasema kwa nchi yenye sheria na katika hajawai kusikia au kuona...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Nyusi arejea nchini Msumbiji baada ya kumalizika kwa Mkutano Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi ameondoka nchini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Rasilimali Watu (Africa Human Capital Heads of State Summit) uliofanyika jijini Dar es Salaam tarehe 25 na 26 Julai, 2023. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  20. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…