Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha.
Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana...
Rais wa nchi tunakupongeza kwa akili kubwa kubalance mambo kwa kuhudhuria Tamasha la Simba, Mwanzo walikubeza na kukutupia kila aina ya lawama baada ya kuwapa kongole kwa vitendo timu ya wananchi Yanga baada ya kufanya vizuri michuano ya kimataifa.
Sasa basi atutegemei kusikia tena kelele za...
Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa.
Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza.
Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dk. Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dares Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi, alisema Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa...
Wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JKT ulituambia kuwa jeshi hilo ni muhimu katika kukuza vijana kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao.
Kauli hiyo inatofautiana na kile kinachoendelea kambi ya JKT Makutupora maana kuna afande mmoja amefikia pabaya kwa tabia yake ya kudhalilisha watoto wa kike...
Mimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani...
Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo.
Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana.
Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa.
Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa...
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini.
Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo, Sinyali Kimambo, maarufu kama Mama Bonge amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutorudi nyuma katika msimamo wake wa kuleta mageuzi ya uchumi nchini, ikiwemo kuvutia uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam
Mama Bonge, ambaye huagiza...
Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa.
Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia kiasi cha Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la taaluma. Hayo yamesemwa jana mjini hapa kwenye maonesho ya kilimo yanayofanyika eneo la Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa Taasisi ya TIA...
Kuna clip ya mwanafunzi wa shule ya sekondari Nganza inatembea sana mitandaoni akitukana Rais na viongozi wote wa serikali katika mkutano uliofanyika chuo Cha SAUT nani alimtuma ?
Baraza la mitihani Lina namba yake ili tujue ni mwanafunzi kweli au kavalishwa uniform tu? Nashauri Baraza la...
Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu.
Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa
Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee...
Mwanaharakati #AlexeyNavalny ambaye amekuwa akipinga waziwazi utawala Rais #VladimirPutin, alikuwa akituhumiwa kuunda na kufadhili genge lenye itikadi kali na kuendesha uasi dhidi ya Serikali.
Hukumu imesomwa ndani ya Magereza yenye Ulinzi Mkali, Kilomita 250 nje ya Jiji la #Moscow ambako...
Mh.Rais mama SSH heshma yako mama yangu(Shikamoo).
Binafsi mimi na wananchi wenzangu tumekuwa tukifuatilia kwa muda mrefu kupata huduma ya maji pasipo mafanikio yeyote.
Kwanza Mh. Rais naomba nikufahamishe ama ni weke rekodi sawa. Mungumaji ninayo izungumzia hapa ipo manispaa pia ni sehemu...
Huwa namkubali sana Daniel Mgogo.
**********
“Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements.
“Unarudisha nyota hewa...