rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la mfumuko wa bei ya bidhaa nchini Kenya, wakati Nauli zikipanda nchini kenya,wakati wakenya wakikabiliwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo? Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili. Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa ukaribu suala la Bima ya Afya. Mzigo ni mkubwa sana kwa Mtu kama Mimi

    Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie shilingi 360,000. Hamuoni kama BIMA yenu ni kejeli kwa Watanzania walio wengi, tena wa hali ya chini...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

    Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu zangu ni zifuatazo: 1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Falsafa za 4R za Rais Samia ni msingi wa siasa safi na demokrasia. Je, zijumuishwe kwenye mtaala wa elimu na kuanza kufundishwa mashuleni?

    Najaribu kutafakari namna ya kutoka na picha kubwa kwenye falsafa za 4R za Rais Samia. Kwa kuwa falsafa hizo zimejikita zaidi katika misingi ya siasa bora na demokrasia, Je sio vema zikajumuishwa kwenye mtaala wa elimu ili zianze kufundishwa mashuleni? Najaribu kutafakari Zaidi kuhusu matokeo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa. Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
  11. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Congo DR afungwa miaka saba jela kwa kumtusi Rais

    KINSHASA, Sept 13 (Reuters) - A high court in Democratic Republic of Congo has sentenced presidential candidate Jean-Marc Kabund to seven years in prison on 12 charges including spreading false rumours and insulting the head of state, his lawyer said on Wednesday. Kabund was a former vice...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

    Havana, Cuba Cumbre de Jefes de Estado y de Gobierno del Grupo de los 77 y China tarehe 14 September 2023 Mwandishi Na Pedro Rioseco https://m.youtube.com/watch?v=Lhxm7jatf5U Mh. Rais Dr. Hussein Mwinyi akiwa na balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh. Humphrey Hesron Polepole uwanja wa ndege wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwambe: Ujio wa Rais Mtwara utatatua Migogoro

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Mhe. Cecil Mwambe, amewataka wananchi wa Chikunja na Likuredi wajitokeze kwa wingi kumlaki Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapokuwa anaelekea Nachingwea mkoani Lindi. Mwambe ameyazungumza Septemba 14, 2023 wakati wa mapokezi ya Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii? Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais DKT. Philip Mpango ahutubia Mkutano wa Idadi ya Watu nchini Hungary

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of Fine Arts Jijini Budapest nchini Hungary. (Tarehe 14 Septemba 2023). Makamu wa Rais...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka majaji, viongozi kuwa waadilifu ili Zuhura asiwahusu saa nane usiku

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka majaji wapya aliyowateua hivi karibuni na viongozi wengine wa kiserekali kisha kuwaapisha leo kufanya kazi kwa uadilifu, weledi na uaminifu. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha majaji wapya wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kama Hayati Magufuli, achana na maridhiano na wasiotaka, watakupotezea muda

    Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums. Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…