BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,512
- 8,403
Kila mwaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) huwa inatoa Ripoti ya Taarifa ya Utendaji Kazi ambayo hukabidhiwa kwa Rais kwaajili ya hatua mbalimbali. Lakini Ripoti hiyo haiwekwi wazi kwa Umma kutokana na kubanwa na Sheria ya Kupambana na Rushwa ambayo haijaweka takwa hilo
Je, unadhani Ripoti hii kuendelea kuwa Siri, inachangia Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ubadhirifu kutokuwa na matokeo mazuri?
Je, unadhani Ripoti hii kuendelea kuwa Siri, inachangia Mapambano Dhidi ya Rushwa na Ubadhirifu kutokuwa na matokeo mazuri?