rais

  1. Ojunju

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nzito ya kikazi mkoani Ruvuma wiki ijayo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ,Anatarajiwa Kufanya Ziara Nzito ya Kikazi Mkoani Ruvuma Wiki Ijayo ambayo inatarajiwa kutamatika Tarehe 29. Ambapo Akiwa Mkoani Ruvuma anatarajiwa kukagua utekelezaji...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana pager kuwa chanzo cha kifo cha rais wa Iran?

    Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa pager iyo. Waisrael ni wajanja mno? Ni kama popobawa ambaye anakukula usiku kisha anapiga kimya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  6. P

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AMEJIPANGA KUWANYOOSHA MAKULUKUTABU

    Je wew ni mwananchi usiye penda Tanzania iliyotulia? Je, una washwa washwa na amani? Huenda ukawa ni makulukutabu. Sasa habari njema ni kwamba, rais SSH ambaye ni amiri jeshi mkuu amejiandaa vilivyo kuwanyoosha makulukutabu. Huenda watu wakachezea kipigo cha mbwa koko.
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Unadanganywa!

    Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na muda huo alikuwa akitetea nafasi yake! Pili Polisi wanaua kila siku watu ambao hawana hatia...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

    RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi inaposherehekea miaka 60, Dodoma inanuka damu.” Aliambatanisha na taarifa ya watu watatu waliouawa na kuchomwa...
  9. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa Iran aliuawa kwa mlipuko wa Pager?

    Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu. Wataalamu wanasema Israel huwa ni wabaya zaidi ukiwachokoza kisha wakanyamaza tu. Haya wiki au...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa upendo Rais Samia amimina Millioni 425 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya kijamii wilayani Longido

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, ameendelea kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kwa moyo wake wa upendo,huruma ,kugusa Maisha ya watu,kuwajali wanyonge na kujinyenyekeza kwa watu. Ameendelea kuonyesha namna...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka. https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa mkali kwa wazembe, wezi na mafisadi nchi yetu ingefika mbali sana kimaendeleo

    Watu wanasema kama rais Samia anaweza kuonesha ukali kwa viongozi wa vyama vya upinzani na watu wenye mawazo kinzani na yeye kumbe anaweza kuwa mkali kwa wazembe na mafisadi waliopo nchini ambao ndio kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya nchi hii. Nchi yetu hupoteza matrilioni kutokana na uzembe wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote. Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unadhani vyombo vyako vinaaminika mbele ya wananchi kwenye kuchunguza sakata hili la mauaji na utekaji nchini?

    Mheshimwa Rais. Umesikika ukiagiza vyombo vyako kufanya uchunguzi wa masuala ya utekaji hata hivyo nasikitika kukwambia kuwa 1. Vyombo vyako haviaminiki tena Tangu jeshi la polisi na mamlaka mbalimbali za uchunguzi kukataa/kushindwa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi, kupotea kwa Ben Saa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

    Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia. Pia soma...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia ya Ujenzi wa Kiwanda cha Chumvi Yaanza Kutekelezwa - Lindi

    AHADI YA RAIS SAMIA YA UJENZI WA KIWANDA CHA CHUMVI YAANZA KUTEKELEZWA - LINDI Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa niaba ya wengi usiruhusu wachache waturudishe kule tulikotoka!

    Friends and Enemies, Rais Samia,Usiwaruhusu wakufanye uwe mjinga kama jamaa yule kwenye suala hili la demokrasia, Au pia usiwaruhusu wao wakufundishe namna gani ya kuifanya hii demokrasia ili hali wao wenyewe wanadai katiba mpya na demokrasia ili hali kwenye vyama vyao wameshindwa...
Back
Top Bottom