Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri
Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu
Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza
Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku.
Ambapo katika uapisho huo...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa malumalu kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Kata ya Ching'anda Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya...
Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa.
Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
Hii si sawa na lazima isemwe.
Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa.
Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na kupambwa na vyama vya upinzani nchini Tanzania na hususani wafuasi wa chadema dhidi ya hayati...
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka".
Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake.
Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI LINDI//BILIONI 33.18 ZILIVYOINUFAISHA LINDI MATENGENEZO NA MAENDELEO UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA
Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 imetoa fedha kwa Wakala ya Barabara...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku!
Aksanteni sana
Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli.
https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH!.
Pia utaweza kupata the way out on a number of issues that need your attention as President of...
Ndugu zangu Watanzania,
Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.