rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kutoeleweka kwa Rais Samia yalianzia kwenye sakata la CoviD 19 na mikopo yake, wakati halikuwa hitaji kwa wakati huo

    Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha? Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi ilikuwa ikistahili kuwekwa lockdown kwa hali ilivyokuwa Mpaka mambo yakawa shwari kabisa, kwa kuwa...
  2. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Jakaya Kikwete alisema ni muhimu mgombea urais 2015 awe na umri usiozidi miaka 60. Kulikoni leo aone sahihi kwa Samia mwenye miaka 65?

    "Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa" Hayo ni maneno ya rais mstaafu Jakaya Kikwete katika uwanja wa majimaji ,Songea mwaka 2015 kabla ya dirisha la...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ummy Mwalimu: Wajibu wetu ni kuheshimu taratibu za Chama, tumuunge mkono Kassim Amar Mbaraka na Rais Samia

    Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
  4. R

    JamiiForums Tanzania Samia apewe Tuzo kwa ukimya dhidi ya Polepole na Gwajima

    Wakuu habari, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa na uovu wa wanasiasa. Ni muda sasa tangu Polepole na Gwajima waibuke wakielezea mifumo mibovu ya...
  5. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  6. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kwahii speed hii ya Polepole hawa kuku ngbendu wa za BANGA hii miezi 2 wataiona miaka 30

    Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi. Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana? Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akumbushia kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje

    Hili ni angalizo kali sana na linapaswa kutiliwa maanani. wapo wanaotaka amani iharibiwe kwa maslahi yao huko ughaibuni.kamwe tusiingizwe kwenye mtego huo
  10. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Kamwe hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani. CCM hacheni kujidanganya

    Katika historia ya nchi yetu hakujawai kutokea kiongozi dhaifu kama mama Samia na mbaya zaidi anatumia mbinu dhaifu ili watanzania wasigundue udhaifu wake na aendelee kuongoza hii nchi akiwa dhaifu Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua ukweli kwamba hii nchi inaongozwa na ushauri wa raisi...
  11. fact only

    JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Habari Wakuu. Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania. Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia. Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  13. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Mh, Rais ikikupenda ndugu Robert Heriel Mtibeli , mtazame anakufaa katika kazi zako

    Wana-Ccm wenzangu ndugu Robert Heriel Mtibeli , mfikirieni kumteua . Kijana huyu anatufaa katika Serikali , Elimu yake ni Shahada . Umri 30s Atatufaa katika kutuandikia hotuba , n.k Asante
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji mkoa wa Singida wampongeza rais Samia kwa mafanikio makubwa sekta ya madini

    WACHIMBAJI MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA MADINI ▪️Wapongeza ugawaji wa Leseni kwa wachimbaji wadogo Singida ▪️Singida wavuka malengo ya ukusanyaji wa maduhuli ▪️Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kuongeza eneo la utafiti wa kina madini nchini ▪️Kampuni za...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo siasa za Bongo. Nimeangalia picha hii iliyopigwa jana uwanja wa taifa, Mama Kizimkazi akipigwa na Morocco, basi nimejikuta nacheka 😀😀😀tu

    The photo - picture speak by itself. What message do get in this picture..? #NoReformsNoElection #Kula kwa wahuni, kulala CHADEMA #FreeTunduLissuNow
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dr. Bashiru Ally Kakurwa akatuwakilishe kama balozi nchini Cuba

    Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu. Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais samia alipotaka mifumo yote ya Tehama serikalini isomane ili kujua nani ni nani katika nchi hii

    Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
Back
Top Bottom