rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  2. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. 2. Serikali...
  4. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeongeza bajeti ya Kilimo kwa 322%

    Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuhakikisha wakulima...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimezichambua Picha za Mkutano wa Leo wa Samia, ITOSHE kusema Sasa Watanzania wameamua Kuikataa CCM waziwazi

    Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa Licha ya Wasaniii wote kuwepo. Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi. Licha ya kutumia Mwamposa Licha ya Kwamba Siku alipochukua Fomu na kurudisha Fomu bado hakua na Nyomi. Licha ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

    Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi! Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CNBC Africa: Rais Samia apitishwa Kugombea Uchaguzi wa Oktoba, Wapinzani Wakuu wazuiwa

    Wakuu! CNBC Africa wameandika kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewazuia wagombea wa Vyama vikubwa vya upinzani kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, hatua inayomwacha Rais Samia Suluhu Hassan wa CCM akikabiliana na wagombea kutoka vyama vidogo pekee. == Tanzania’s...
  8. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Hongera Samia kuanza kampeni kwa kishindo lakini rekebisha mahusiano yako na taasisi hii

    NA J_Okay Hatimaye kampeni zimeanza, huku Rais Samia Suluhu Hassan akitafuta miaka mitano mingine ya kukamilisha kazi yake. Ionekanavyo, Rais Samia atapita kwa urahisi, ingawa idadi ya wapiga kura inaweza kuwa ndogo. Ukweli usemwe, ukizingatia namna alivyoingia madarakani kwa bahati tu, na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia suluh hassan akichangia mchango mkubwa kwenye mageuzi ya nchi kiujumla aeleza , Rais Mstaafu wa awamu ya nne

    Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema utaratibu uliotumika kumuidhinisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM haujakosewa na kwamba ndio utaratibu uliotumika kuwapitisha na kuwaidhinisha Wagombea wote wa Urais...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mama Wa Imani. Rais Samia alivyoomba Dua na wasaidizi wake Ikulu kabla ya Kuelekea katika Uzinduzi wa Kampeni

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Taifa Letu lipo mikononi Mwa Kiongozi Mcha Mungu, kiongozi mwenye hofu ya Mungu, kiongozi mwenye Kumjua Mungu na kujua yeye siyo chochote mbele za Mungu. Taifa linaongozwa na lipo Mikononi Mwa Kiongozi anayejua Ukuu wa Mungu na anayejua kuwa Mungu ndiye alfa...
  11. Mshindi wa Vita

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Asilimia 93 ya Uchumi wa serikali zote duniani ni deni Tanzania inadeni dogo sana ukilinganisha na wenzetu

    Akihutubia mkutano wa kampeni, Rais Samia Suluhu Hassan alieleza hali ya deni la Serikali, akisema kuwa hadi kufikia mwaka 2024, deni la Serikali zote duniani lilifikia asilimia 93 ya Pato la Dunia (GDP), huku deni la Serikali za Afrika likiwa asilimia 67. Kwa Ukanda wa Afrika Mashariki (EAC)...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  15. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

    Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu azijalipwa. Tutakuja na mfumo wa kuhakikisha jamaa ya marehemu wanalipa gharama, lakini sio kuziwia miili ya watu waliotangulia mbele ya haki...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Rais Samia ni kiongozi mwenye maono ya mbali, 4R zake zimeimarisha Amani, Umoja na Muungano

  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Kuna Wakati Niliwahi HKushawishi Rais Samia Asiwe na Mpinzani yeyote, Aungwe Mkono Na Vyama Vyote, Lakin Wahuni Wamebadilisha Kila Kitu

    Rais Samia alivyoanza, alileta matumaini makubwa sana kwa Watanzania. Matendo na kauli zake ziliashiria kuwa yeye ni Rais wa Watanzania, siyo Rais wa CCM. Niliwaza kuwa huyu mama kwa dhamira yake njema ya kuwatendea haki watanzania wote, ilikuwa ni fursa nzuri kwa nchi kufuta mifumo na sheria...
Back
Top Bottom