rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Samia Nahodha jasiri pamoja na meli kupigwa na dhoruba baadhi ya mabaharia kujirusha majini bado umesalia imara ukiongoza chombo kwa ustadi mkubwa

    Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, wamjua aliyemchangia Samia Sh. Bilioni 10 aingie IKULU? Mama unaingia IKULU (mahala patakatifu) kwa fedha chafu(?)

    Nina uhakika mama umelala, ila mwenzako sijalala nalitumikia taifa, mama je WAMJUA yule kijana aliyekupa bilioni 10 ili uingie IKULU? Kama humjui, lile faili ndioooo yeye - lipo MEZANI kwako ukitaka lisome; hutaki - acha!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia kiasi cha fedha za mishahara kwa mwezi kimeongezeka kutoka TZS608bn mwaka 2020 hadi 856bn mwaka 2025

    Rais Samia ameongeza thamani ya mishahara kutoka shilingi bilioni 608.4 hadi bilioni 856 kwa kila mwezi, watumishi wa umma wote yamefikia shilingi trilioni 10.2 sawa na shilingi bilioni 856 kwa mwezi, hatua inayoonesha ongezeko linalochochewa na ajira mpya, nyongeza za mishahara na madaraja...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeruhusu hii? Ichukulie hatua kali

    Sidhani kama utafurahia anachokifanya mteule wako. Haya tuliyaona wakati wa ukoloni, ma Dc kuwachapa weusi vibok! Usiiruhusu!
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

    Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini. Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji waitikia wito wa rais samia wa uongezaji madini thamani nchini

    ▪️Waziri Mavunde azindua Kiwanda cha kuongeza thamani madini Chumvi-Kigoma ▪️Ni cha uzalishaji Chumvi Lishe(𝐶𝑎𝑡𝑡𝑙𝑒 𝐿𝑖𝑐𝑘) kwa ajili ya Mifugo ▪️Lengo ni kupunguza uagizaji wa Chumvi Lishe kutoka nje ya Nchi ▪️Tanzania kuongeza uzalishaji wa Chumvi ghafi kwa matumizi ya viwandani Uvinza,Kigoma...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

    Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoke hadharani atoe ufafanuzi alimaanisha nini aliposema "hambinyi" sana GSM ktk biashara zake

    Je, anampa upendeleo wa kikodi na ushauri wa forodha? Na kama anafanya hivyo, huu siyo uhujumu uchumi? “Natoa wito kwa Wadau kusaidia michezo kwani uendeshaji wa michezo una gharama kubwa, hapa namuona Ghalib (GSM) akijua kuna mashindano mbele flesh ya nyama inapungua kidogo anapiga mahesabu...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema pesa ilizochangiwa CCM zitatumika bilioni 20 zingine zitatumika kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi

  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mkoa uliopoteza mtu tusimpokee Rais Samia, TUNAANZA WACHAGA Bila SOKA mama USIJE Kilimanjaro kuomba kura

    PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
  12. U

    JamiiForums Tanzania USHAURI sherehe kumpongeza Rais Samia at akaposhinda Uchaguzi Mkuu Oktoba zifanyike Butiama, Zanzibar, Lupaso na Chato lengo kuwaenzi Marais Wastafu

    Hakuna shaka yeye ndiye mshindi hivyo kwa lengo la kuwaenzi waasisi waliop hai na wale walioenda mbele za haki.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mnaompinga Rais Samia mfafanue kwa ushahidi mambo gani hajayatekeleza hadi sasa tangu alipochukua madaraka, vinginevyo mumpe sifa anazostahili

    takwimu haziongopi kwani yale aliyoahidi kwenye Ilani ya Uchagizi kayafanya kikamilifu. Ni vema mkaja na ushahidi vinginevyo mkae kimya au mumpe sifa anazopaswa kuwa nazo Rais wetu DK Samia Suluhu Hassan
  14. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Hadaa ziinazofanyika na ulaghai wa mama anaupiga. Mwingi ni kwasababu watu wanakula kulingana na urefu wa kamba yao

    Ukiona raisi anasifuwa na kutangazwa kila kona ya nchi na machawa , wafanyabiashara ku print nguo zake na kupa zawadi mbalimbali za upngozi bora ujue nchi hiyo inaelekea kuangamia Wote mnaona yale wanayoyasema mama kaupiga mwingi ni yapi Vituo vya afya ameacha amejenga JPM kila mkoa Sgr...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aumizwa Moyo Na kusikitishwa sana na vifo 25 Vya Watu waliofukiwa na Kifusi Mgodini Mkoani Shinyanga

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni sana. Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Sijashiriki kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amejibu kuhusu kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokataa bahasha yenye Milioni 10 kutoka kwa Mengi, Rais Samia alikuwa pembeni, kimoyomoyo alisemaje?

    Wakati Mh Hayati Magufuli anagombea Hayati Mengi alimpelekea Bahasha ilivyokuwa imewekwa Milioni Kumi kama mchango wake kwa kampeni za uraisi. Kwa mujibu wake Mh Hayati pombe Magufuli alizikataa zile fedha mbele ya Mh Makamu wa Rais Swali Mh Rais wa Sasa kimoyooyo alikuwa anasemaje? Msomaji...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Nishani ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM)

    https://www.youtube.com/watch?v=3lNNwCmNJQ0
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maelfu ya wanachama wa CCM Simiyu wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu wamejitokeza kumdhamini mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Chanzo: Jambo TV
  20. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Urithi wa Migawanyiko: Nchi inavyozidi kutengana

    "Mama Samia na Urithi wa Migawanyiko: Nchi Inavyozidi Kutengana" Tangu Mama Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, taifa limeingia kwenye sura mpya yenye mchanganyiko wa matumaini na mshangao. Lakini sasa, tunapoangalia uhalisia wa mambo, tunagundua kwamba nyuma ya tabasamu la...
Back
Top Bottom