rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameipandisha hadhi Halmashauri ya Bagamoyo kuwa mji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧, ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Apewa Tuzo na Makandarasi wazawa kuongeza wigo wa Thamani ya kazi za wazawa kutoka Bilioni 10 Hadi Bilioni 50

    Kama kichwa kinavyoeleza ,wakati Samia anaingia madarakani alikuta wakandarasi wazawa wanapuuzwa kwenye kazi na wanapata vikazi ambavyo haviwezi kuwafanya kuwa mabilioni na kulipa Kodi. Mfano kazi zote ambazo zilikuwa zaidi ya Bilioni 10 hakuna mzawa alipata Bali Wachina na Wageni wengine...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wampa Tuzo Maalum Rais Samia, Waziri Ulega asema rekodi yake imetambulika kimataifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita. Rais Samia alipewa tuzo hiyo ambayo ilipokewa kwa niaba yake na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, katika...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia ameomba CHAN iwachukulie hatua Kenya kwa kununua tiketi uwanja wa mkapa

  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aongoza kikao cha uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Baraza la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wabunge wa Viti Maalum, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aizawadia Taifa Stars Tsh. Milioni 200 kuelekea mechi na Morocco

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Fedha hizo zimewasilishwa na Waziri wa...
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri kesho kawatembelee Taifa Stars kambini kwao

    Rais Samia kesho jioni nenda kambini kwao,ukawatie hamasa vijana ili wacheze kufa kupona na kuifunga Morocco.Vijana wakikuona kambini kwao,watapandisha mori sana
  10. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania RC KATAVI: Rais Samia amekarabati Reli ya MG kutoka Tabora -Katavi kilometa 210 kwa shilingi bilioni 379.40

    ==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aiwasha KATAVI

    Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa na gharama ya Shilingi 116 Bilioni, ukiwahusisha ujenzi wa njia ya 132KV kutoka Tabora hadi Katavi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapumbaza Watanzania hadi wakaamini kwamba Rais Samia atasikiliza maoni, ushauri na malalamiko yao!?

    Katika kipindi hiki cha utawala wa Samia, ushauri kwake umekuwa mwingi mno na matarajio kwa wananchi yamekuwa makubwa sana. Wengi wamekuwa wakiamini atabadilika: mara “Mama rekebisha hili,” mara “Mama sikiliza hili,” mara “Usiwategemee washauri wako wanakupotosha,” mara “Mama, jichunguze vizuri...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya Uongozi wa Rais Samia Hassan.. Mitano tena

    Poleni sana Askari wetu wa barabarani.. Tunaweza kuona magumu mnayopitia.. Hakika kwa upande wa kuhakikisha Sheria za Nchi zinafuatwa, Samia kaupiga mwingi.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuichukia Taifa Stars kwakuwa tu unamchukia Rais Samia na CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu uliovuka mipaka

    Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Akizungumza kwenye kipindi cha Jana na leo -Wasafi FM akijibu swali kuhusu muenendo wa wasanii kwa sasa kuonekana kusifia uongozi na si wajibu wa kupaza sauti za wananchi wanyonge ikiwemo suala la watu kutekwa na kupotea, Mrisho Mpoto ameeleza kuwa jambo hilo ni la Kiusalama na haina uhusiano na...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu Rais Samia ameondoa hofu

    Unamkataa Samia unataka umlete yupi? ni mwanamke wa kwanza kuongoza nchi yetu, alipoondoka Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli nchi ilijawa hofu...sasa hofu imeisha hana hatia..mnaanza umbeya na uongo, Mungu wa Mbinguni awarehemu" amesema Kiliba
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Tutamlinda na kumtetea rais Samia

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Samia Anajenga Masoko yenye Hadhi Kila Mji Mkuu wa Mkoa na Wilaya Tanzania

    Kazi imeanza Bariadi https://www.instagram.com/reel/DNfvAyZIZYo/?igsh=d2toMndxNWVpMDB6
Back
Top Bottom