rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akiwaapisha Mawaziri Wateule Ikulu Chamwino, Dodoma - Novemba 18, 2025

    Rais Samia akiwaapisha Mawaziri Wateule Ikulu Chamwino, Dodoma - Novemba 18, 2025 https://www.youtube.com/live/KMmk3T1ShPA?si=DJZZW4e-cy57-R7U
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

    Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
  4. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Godbless Lema: Samia alipokuwa Rais, nikamkumbuka Zamda. Nikasema moyoni Samia hana dhambi

    Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia. Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake. Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki? Ni...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe: Namshukuru Rais Samia kwa imani kubwa aliyonionyesha kipindi chake cha kwanza cha uongozi na kuniteua

    Baada ya kutupwa nje katika baraza jipya la mawaziri Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema: Natumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na kwa baraka zake katika safari yangu ya utumishi. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri

    Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29 aliowatangaza leo tarehe 17 Novemba, 2025 kama ifuatavyo:- 1. Ofisi ya Rais -...
  7. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuzungumza na vyombo vya habari saa 9 alasiri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari, tarehe 17 Novemba, 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma. https://www.youtube.com/live/SxXTD_EHUIE?si=q_ZLZCQITfKe2mN-
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamati ya ulinzi na usalama wa Taifa iwajibike kwa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba. Walimshauri Rais Samia vibaya

    Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la taifa, lengo la kikao lilikua kufanya tasmini ya kilichotokea maana hawakukitarajia kabisa baada ya...
  9. MLIMAWANYOKA

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu afika na mkewe kanisani Usharika wa Kisasa Dodoma na ulinzi mkali, afikisha salamu za Rais Samia Amani

    Waziri Mkuu Mwigulu afika na mkewe kanisani Usharika wa Kisasa Dodoma na ulinzi mkali, afikisha salamu za Rais Samia Amani https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maiko Salali: Tanzania ina kiongozi msikivu, anayejali watu wake na anayetamani kuona nchi inaendelea mbele

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali linalo shughulikia watu wenye ulemavu la Disability Hope Maiko Salali (FDH)amepongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa bungeni, akisema imekuwa ni mwanga mpya kwa taifa lililopitia mtihani...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

    1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia huongei kama Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Serikali

    Rais wangu Samia leo nimekwazika mno kwenye hotuba yako 1. Hukutakiwa kusema hatuigiliwi mambo yetu ya ndani ungesema MTU ASIJARIBU NA AKIJARIBU HATAPATA MUDA WA KUJUTIA ILA NDUGU ZAKE WATAJUTA KWA NIABA YAKE. ujumbe ufike vizuri 2. ETI UNAWASAMAHE VIJANA KISA MKUMBO ? KWELI HATA MIMI KESHO...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia imenichefua sana. Tarehe 9 December nitatoka!

    Mambo yaliyonichefua:- A. Kuunda wizara ya vijana. So what? B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo? C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani? D...
  19. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

    Rais Samia leo ametoa hotuba ya kufungua Bunge la 13. Hii ni hutuba iliyosubiriwa na wengi kutoa mwelekeo mpya wa kipindi cha pili cha serikali ya awamu ya sita ambayo kwakweli imepitia kipindi kigumu cha uchaguzi. Rais Samia ametambua uwepo wa maandamano na vurugu October 29, aidha ameliongoza...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mwisho wa awamu ya sita usipimwe tu kwa majengo na vitu vinavyoonekana, bali kwa tabasamu la utu kwenye nyuso za Watanzania

    Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu vinavyoonekana bali kwa tabasamu la utu litakaloachwa kwenye nyuso za watanzania
Back
Top Bottom