rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    GE2025 Mwambieni aachane na Mpango wa Kuchukua Fomu! Amekataliwa, akilazimisha - aibu kuu Inamngoja

    Wakuu Hili ni kama maajabu ila ndio Uhalisia wenyewe !! Vita inayoendelea ni Kati ya WAZALENDO wa NCHI hii dhidi ya Genge la Wahuni( Wanamtandao). Mpaka muda huu naoandika Hapa, WAZALENDO WAMESHINDA !!. Ipo hivi, Hapatakuapo na Utekaji tena, Hamna Kiongozi wa juu wa Dola kubadilishwa Ovyo ...
  2. Pfizer

    GE2025 Rais Samia: Tumeweka fedha nyingi katika Umwagiliaji kukabili Mabadiliko ya Tabianchi

    <Aitaka NIRC iendelee kufanya kazi kuwafikia wakulima <Asema utachochea uzalishaji na kukabiliana na ukame 📍NIRC Ddoma Rais Dkt .Samia Suluhu Hassan, amesema katika kufikia azma ya mapinduzi sekta ya kilimo Serikali imechukua hatua ya kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya Umwagiliaji lengo...
  3. L

    Rais Samia Agusa mioyo ya watu Baada ya kukataa Uwanja Kuitwa kwa jina Lake. Ampatia John Malecela Heshima Hiyo kutambua Mchango wake

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa kwa hakika ni zaidi ya kiongozi,ni zaidi ya mtu wa kawaida ,ni zaidi ya Binadamu. Rais Samia siyo mtu wa kawaida ,Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni ngumu sana kumfananisha na mtu yeyote yule hapa Nchini na barani Afrika na pengine Duniani Kwote...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Rais Samia: Tumeanza Kuteua Watakao tuwakilisha kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Akizungumza katika maonesho ya Siku ya Wakulima (Nanenane) Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma katika viwanja vya John Malecela leo, Agosti 8, 2025, Rais Samia amesema kuwa katika kipindi hiki kuanzia mwezi huu, vyama vyote vya siasa vimeanza michakato ya kupengua na kuteua wale wote...
  6. McLaren

    Bashe amkabidhi Rais Samia tuzo kutambua mchango wa Rais kwenye sekta ya kilimo na uvuvi

    Wakuu Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya NaneNane leo Wizara ya Kilimo na Ufugaji ambayo inaongozwa na Hussein Badshe imemgaia Rais Samia tuzo
  7. DuaZaMama

    Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  9. R

    GE2025 Rais Samia azindua Maabara Kuu ya Kilimo Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Maabara Kuu ya Kilimo ya Taifa (National Laboratory Centre) mkoani Dodoma, ikiwa ni hatua muhimu ya kuimarisha tija, ubunifu na utafiti katika sekta ya kilimo Mradi huo wa kimkakati uliozinduliwa siku ya Ijumaa Agosti...
  10. Bibianna

    Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

    Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti) Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya...
  11. kyagata

    Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  12. McLaren

    GE2025 Polepole: Kuna kakikundi cha watu ndio wanapanga nani atakuwa kiongozi. Namuonea huruma Rais

    Wakuu, Pole pole anaendelea kutema cheche. Anasema kwenye nchi hii kuna watu wachache au "kamtandao" ambako ndiko kanapanga nani awe kiongozi na nani asiwe Polepole anasema kuna kipindi unakuta uteuzi wa kiongozi unafahamika kabla hata mkeka rasmi wa Rais haujatoka. Anasema hako kakikundi ni...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  14. L

    Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston...
  15. W

    KUMBUKIZI | Rais Samia: Siasa ni mchezo wa fikira na mawazo na kulumbana kwa hoja

    Rais Samia 08 Machi 2023 akiongea na BAWACHA alinukuliwa kusema "Wote tumejawa na furaha. Na hiyo ni kwa sababu ya matunda ya mazungumzo na maridhiano. Ndugu zangu siasa ni mchezo. Mchezo wa fikira na mawazo, kulumbana kwa hoja, kuangalia kakosea wapi tumzodoe na mimi naona kaongea nini namjibu...
  16. Inside10

    GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  17. E

    GE2025 Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025

    DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho. Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
  18. Kimbesa11

    GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  19. PLOII

    GE2025 Rais Samia na Sekretarieti ya Chama futeni zoezi zima la uchaguzi ndani ya Chama; Hivi ni laana ya wale au tuunge hoja tufanye reforms au tuendelee?

    Greetings GT, Kama Mada tajwa hapo juu. Nimeuliza tu tuunge mkono hoja ya wale labda tutafika salama au tuendelee tupate laana? Kumekuwa na sintofahamu kwenye zoezi la Uchaguzi ndani ya Chama hasa eneo la Uchaguzi wa majina na Kampeni zinazoendelea. Binafsi na uzee wangu huu sijawahi kuona...
  20. M

    Kama ilivyokuwa kwa Kikwete 2015 Rais Samia hutaweza kumuweka unayemtaka 2030, safari ya wazalendo kudai nchi yao imeanza

    Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
Back
Top Bottom