rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  2. L

    WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe. Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
  3. L

    PICHA: Hii ndio maana halisi ya mfariji wa Taifa. Rais Samia Abarikiwe sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika kuna kusudi maalumu la Mungu kumuinua Rais Samia na kumketisha kitini. Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumpa kibali Rais wetu kuwa Rais wa Taifa letu. Ni Chaguo la Mungu Mwenyewe kwa Rais Samia kuwa Mtumishi wetu Watanzania. Nimeshuhudia mara nyingi sana kwa...
  4. The Supreme Conqueror

    Rais Samia Msibani kwa Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
  5. Just Pray

    Rais Samia: Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge

    "Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia. Rais wa Jamhuri ya...
  6. McLaren

    Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  7. Sifi Leo

    GE2025 Raisi Samia na Dr Nchimbi ni wagombea wa CCM ambao hawajawahi chukua fomu za kugombea urais za chama

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu. Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
  8. Kabende Msakila

    Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  9. L

    Rais Samia alipatia Tabasamu Taifa. Lalipuka Kwa shangwe , nderemo na vifijo mitaani kote. Watu Wajikuta wakibubujikwa na Machozi ya Furaha

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia anapendwa ,kukubalika na kuungwa mkono kuwahi kutokea. Kwa hakika Rais Samia amefanikiwa kuiteka mioyo ya watanzania,kwa hakika Mama yetu Mpendwa amefanikiwa kuandikwa kwa wino wa Dhahabu na upendo mioyoni mwa watanzania. Kwa hakika Rais Samia ni...
  10. Mto wa mbu

    Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  11. Waufukweni

    Rais Samia katika picha Tatu, uchukuaji Fomu ya Urais Uchaguzi 2015, 2020 na 2025

    Jumamosi Agosti 9, 2025, Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu amechukua fomu Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Urais wa Tanzania akiwa na mgombea mwenza, Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi; hii ni mara ya tatu kwake kufika chombo hicho cha juu cha uchaguzi, safari hii ikiwa kubwa zaidi kuliko...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

    Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
  13. Waufukweni

    GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  14. Waufukweni

    GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
  15. B

    GE2025 INEC mmejishtukia kuitwa Tume ya CCM hadi mkaamua kuondoa live ya tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu?

    Wakuu, Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana. Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi...
  16. DuaZaMama

    GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

    Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
  17. Waufukweni

    GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

    Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
  19. L

    GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais...
Back
Top Bottom