rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Samia kuhutubia Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya tarehe 05/05/2021

    Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan siku ya jumatano 05/05/2021 atawahutubia wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania kwenye Jukwaa la Wafanyabiashara nchini Kenya. Katika mkutano huo Rais Samia ataelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo nchini ikitiliwa maanani...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

    Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM sasa Tanga itatulia hongera Rais Samia

    Kulikua na tetesi kwamba RC wa Tanga Martin Shigela angekua katibu mkuu wa CCM ili kuziba nafasi ya Bashiru Kakurwa. Baada ya tetesi hizo inasemekana chamani hapo Tanga ilikua ni pokopoko na nong'onong'o na vijiweni kwa jamaa au washikaji wa mtajwa wakaanza kutembea vifua mbele na mabega juu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Magufuli wamefanana kwa lipi?

    Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona watu waliokuwa vipenzi wa mwendazake kawaondoa kwenye nafasi zao, kwenye kodi anataka wananchi walipe...
  5. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia najua mapato ya mwezi wa 4 umeyaona tayari. Kariakoo wanakuangusha

    Naomba ku-declare interest. Mimi binafsi nampenda na kumkubali Sana Mama Samia hivyo kwa nguvu na uwezo nilionao sitakubali hujuma yoyote kwake. Nchi inaendeshwa kwa Kodi, hivyo kauli ya mama Samia kusema tutumie akili kukusanya hakumaanjsha tusilipe Kodi na badala yake mapato kupungua na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

    Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura! Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam yalihitaji atembelee haraka hivyo; bila shaka ni ya manufaa makubwa kwao; na pengine na kwetu pia hadi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara, iliishia wapi? Leo tena Rais Samia anaunda bodi ya mishahara

    Miaka ya 2016 hayati Rais Magufuli aliunda bodi ya mishahara lakini hakuna matokeo chanya yaliyoonekana. Leo tena Rais Samia amesema iundwe bodi ya mishahara, hivi watumishi hamuoni hii ni danadana na danganya toto? Hivi kama HESLB wanaweka value retention fee ya 6% (imeondolewa), serikali...
  10. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao. ========= RAIS SAMIA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi, Wanasiasa wengine tujifunze

    Wanabodi sijui ni mimi peke yangu au na nyie mnaona, huyu Mama toka ametwaa madaraka amekuwa Kiongozi Mnyenyekevu sana kwa Wananchi wake. Hotuba ya Mei Mosi imejaa unyenyekevu wa hali ya juu sana kiasi cha kuleta Matumaini na kuzidi kupendwa na Wafanyakazi. Cha kujifunza sometimes how to speak...
  12. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ondoa hawa watu

    Mabibi na mabwana wazee kwa vijana Swali ya yote napenda kusema tu Jpm uliharibu sura ya miji na majiji yetu kwa kigezo Cha wanyonge Leo hii miji imekuwa Kama masoko au mashamba machinga mama ntilie wametapakaaa barabarani bila mpangilio taswira ya jiji miji haipo Tena Mama Samia ondoa hawa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

    Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali. Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano hususani katika suala la matumizi ya Rais. Mheshimiwa Rais Samia tangu kuapishwa kwakwe amepiga route...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  17. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

    “Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete "Tayari Samia...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM yampitisha Rais Samia Suluhu kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama hicho

    Taarifa hii ni kwa Mujibu wa EATV , bado haijajulikana kama kwenye Mkutano Mkuu nako atapitishwa au vinginevyo . Bali kinachofahamika ni kwamba kupitishwa kwake kuwania nafasi hii ni hatua muhimu kuelekea kuchukua kiti hicho
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma. Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma. Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
Back
Top Bottom