Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mwaka wa fedha 2025|2026, Tume ya Umwagiliaji iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 382,138,408,000.
Fedha hizi zimetengwa kama ifuatavyo:
Shilingi 308,721,961,000 ni fedha za Maendeleo, huku Shilingi 73,416,447,000 zikielekezwa kwa matumizi ya...