rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Timu ya Olimpiki ya Tanzania ina Viongozi wengi kuliko wachezaji

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ilivyo sasa ambapo timu husafiri na viongozi wengi zaidi ya wachezaji. Ametoa maelekezo hayo wakati akipokea Kombe la Ubingwa wa...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

    Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo. Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nyumba yetu inazidi. Rais onyesha uwepo wako, Uwezo Wako Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili. Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama Nyumba yetu inazidi makelele, jee tumshinikize Mama aonyeshe uwepo wake, kwa...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
  7. mzeempili

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anaelekea kuipata tuzo ya Mo Ibrahim?

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake. Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana...
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

    Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea? Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi. Mama Samia mbona hakuna aliyekataa kulipa Kodi? Ndani ya miezi minne kufanya haya mabadiliko makubwa hivi huoni ni kama unatutesa sana...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali aliowateua, yumo Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mabalozi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo; 1. Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania 2. Balozi Mteule, Lt. Jen. Yakub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki 3. Balozi Mteule...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia ikikupendeza tuwe na Wizara ya Fedha peke yake na Wizara ya Mipango peke yake

    Baada ya kusikiliza hii press ya mawaziri watatu yaani Dkt. Mwigulu Dr. Ndugulile na Ummy Mwalimu nashawishika kusema ni vema wizara ya mipango ikajitegemea. Sijaona uratibu unaoshawishi kisomi kwenye hii press na kama tungekuwa na Waziri wa Mipango anayejitegemea tusingefika huku kote. Wizara...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia ruhusu demokrasia shirikishi

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais Samia Suluhu Hassan akisimamia masuala ya utawala bora, kujenga demokrasia na uchumi shirikishi ataingia kwenye rekodi n ahata kupata tuzo ya Mo Ibrahim. Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo leo Agosti 19...
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania, " Hakuna kama Samia " Ukichukua gharama za miradi miwili mikubwa ya SGR na SG|JNHPP inayoendelea kwa sasa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuondolee hili janga Wizara ya Afya. Mawaziri wako ndio kikwazo cha chanjo

    Hii ni moja ya Wizara ambayo imepata mawaziri Wa Hovyo sana. Hatujui ni nini kinafanya Huyu Dr. Gwajima aendelee kufanya sarakasi zake zisizo na Tija katika Wizara nyeti kama hiyo. Kwa nini huoni kama kuna shida? Wizara hii haihitaji Mipasho, vichekesho na Propaganda. Inataka mtu ambaye yupo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

    Mwandishi wa habari mbobezi aliyehudumu kuanzia enzi za awamu ya kwanza hadi leo Jenerali Ulimwengu amesema Rais Samia anapaswa kuelewa hii nchi ni ngumu. Na kwamba hata watu wanaomzunguka wanapaswa kuangaliwa kama ushauri wanaompa ambao kimsingi anaweza kuukubali au kuukataa, je washauri hao...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
  19. BAK

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikia sauti ya Askofu Ikongo

    RAIS SAMIA SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Kuna Waraka unasambaa katika mitandao ya kijamii unaosadikiwa kuandikwa na Bishop Ikongo. Waraka huo unadai kuwa Waraka wa Wizara wenye kichwa: "Mabadiliko ya Hadhi ya Vyeti vya Usajili wa Taasisi za Kidini" sio maelekezo ya Serikali ya CCM bali ni wa Msajili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Rais Samia ni mbobezi kwenye uongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema Chama hicho hakijawahi kumsimamisha Kiongozi wa nchi kwa majaribio. Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo Jana Jumapili Agosti 15, 2021 katika ibada ya kuweka wakfu na harambee ya jengo la utawala na shule ya...
Back
Top Bottom