rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa kiasi cha Tsh. Milioni 500 baada ya taifa Stars kufuzu 16 bora

    Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizawadia timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) shilingi milioni 500 kufuatia kufanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON). Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 03, 2026...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia kuuaga mwaka 2025 yazua mjadala. Aendelea kukebehi maelfu ya waliouawa. Yadaiwa si halisi, imetengenezwa kwa Akili Mnemba (AI)

    https://youtube.com/shorts/d-gVWuklw7Y?si=zpWedEOCcjWkGVC9 Pamoja na kuendelea kukebehi maelfu ya wananchi waliouwawa na vyombo vya usalama vya serikali yake, hotuba ya Rais Samia ya tarehe 31/12/2025 masaa machache kabla ya kuingia mwaka mpya 2026 imezua balaa na mjadala makubwa kuhusu uhalisia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unaitisha maridhiano wakati huo huo unambambikia kada wako mtiifu Godfrey Malisa kesi ya kubumba ya uhaini! Are you serious na maridhiano?

    Rais wangu, kwa heshima na taadhima kubwa, Unaonekana ni mzaha na dharau! Dhamira ya kweli na common sense tulitegemea watu wote wenye kesi za kubumba wawe huru ukianza na Lisu, angalau kwa mbali kuwa umeanza kubadirika! Utekaji, uuaji, upotezwaji, ulawiti, ufiraji, ubakaji bado uko pale...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawapenda Sana Watanzania Kwa Dhati Ya Moyo wake

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni hotuba iliyoonyesha upendo mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania. Ni hotuba ambayo imeonyesha...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli yatapatikana Tundu Lissu akiaachiwa na Rais Samia akikiri watu waliuliwa ili kulinda maslahi ya wanaCCM

    Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi. Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM. Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, you're still lost in your own denial mode. Taifa linahitaji TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION na sio TUME YA MARIDHIANO TU!

    Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe... Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Wanabodi Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026 https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx Karibuni Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za...
  8. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Wanaomtukana Matusi Rais Samia Watakuja Kulia Machozi ya Damu na Kumuomba Msamaha

    Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa na machozi ya Damu huku wakiwa wamepiga magoti ardhini na kumuomba Msamaha Rais wetu wakiwa huko...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram: Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu? Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kuwa Wanawake wanaweza. Hongera sana Rais Samia

    Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya kiuongozi na Viongozi wakubwa Duniani kama vile akina Putin, Trump, na wengine.. Watanzania ni fahari kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

    Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the...
  14. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha Kiburi Vunja Genge la watekaji uondoe taharuki

    Mpaka sasa hakuna asiyejua mpaka huko nje ya nchi kuwa wewe ndiye mwenye Genge la utekaji! Weww mwenyewe ndio umejipaka damu kwa kusogeza TISS kuwa chini yako! Watanzania hasa Watanganyika ni watu poa sana ndio maana hujawahi kuskia hata mwana CCM katekwa na Watu wa upinzani! Ila Upinzani...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini ‘Masheikh wa awamu ya sita’ wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas?

    Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas? Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei? Rais ni wa wote, haijalishi umezaliwa makunduchi, Mchambawima, Kizimkazi au Kanyamahela Hata rais Samia katika awamu yake ya sita...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wakesha na Kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais Samia huku Amani na Utulivu Vikitamalaki Nchini kote

    Ndugu Zangu Watanzania, Wakristo Mbalimbali Wamekesha na kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo waumini hao ambao wanasherehekea Sikukuu ya Chrismas Ikiwa Ni kumbukumbu ya kUzaliwa Kwa Yesu kristo. Ambapo wengi wameonyesha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia

    Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia. ============ Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) akiambatana...
  20. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman Apokea Ujumbe wa Rais Samia Suluhu uliowasilishwa na Balozi Kombo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sultan Haitham bin Tariq Al Said wa Oman.
Back
Top Bottom