rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  2. veyra

    GE2025 Zungu: Rais Samia ameimarisha amani, utulivu na haki nchini.

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini. Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,”...
  4. veyra

    GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
  5. Nyani Ngabu

    Hivi ndivyo Rais Samia anavyoonekana kimataifa!

    https://youtu.be/hSOcdGnoGbA?si=xmD1lymIVF7bNlFU “The first ever president to elect herself” Sasa hivi sisi wala siyo banana republic tena! Banana republics huwa walau zina matumaini flani flani endapo elements flani flani zitaondolewa. Sisi tupo tupo tu. Si nchi wala taifa.
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
  7. L

    PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule. Lakini...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia apiga selfi na wananchi wa Kibaingwa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
  9. PendoLyimo

    Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia

    WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini 📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia Ataja faida za...
  10. funaku

    Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  11. funaku

    GE2025 Ahadi za Rais Samia akiwa Ngerengere

    Ngerengere ni Kitovu cha Biashara,Kilimo na Uchumi. Hili ni eneo linalokuwa kwa kasi na hupokea wageni wengi ikiwemo kutoka Congo, Rwanda na Burundi. Kwa umuhimu huo basi ni busara kuboresha huduma za jamii na kurahisisha uhifadhi na usafirishaji wa mazao. Ni ahadi zenye kutimizwa. NGERENGERE...
  12. J

    VIDEO: David Kafulila, Ezekiel Kamwaga, Maggid Mjengwa na Said Miraji wachambua mambo makubwa ya nchi yakiwemo ya H.Polepole

    https://www.youtube.com/live/Tg4xJr-XGag?si=qkV33iiPHQZYvpad Na. Mwandishi wetu. Katika mjadala wa kitaifa uliofanyika kwenye Jukwaa la Wachambuzi, David Kafulila – Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) – alibainisha kuwa maendeleo ya taifa lolote hayawezi...
  13. Chachu Ombara

    Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  14. Getrude Mollel

    GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  15. Jesusie

    Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  16. Jesusie

    Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  17. K

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. 2. Serikali...
  18. Jesusie

    Rais Samia: Tumeongeza bajeti ya Kilimo kwa 322%

    Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuhakikisha wakulima...
  19. Carlos The Jackal

    GE2025 Nimezichambua Picha za Mkutano wa Leo wa Samia, ITOSHE kusema Sasa Watanzania wameamua Kuikataa CCM waziwazi

    Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa Licha ya Wasaniii wote kuwepo. Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi. Licha ya kutumia Mwamposa Licha ya Kwamba Siku alipochukua Fomu na kurudisha Fomu bado hakua na Nyomi. Licha ya...
  20. M

    Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

    Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi! Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
Back
Top Bottom