Rais Samia acha Kiburi Vunja Genge la watekaji uondoe taharuki

Rais Samia acha Kiburi Vunja Genge la watekaji uondoe taharuki

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,991
Reaction score
9,505
Mpaka sasa hakuna asiyejua mpaka huko nje ya nchi kuwa wewe ndiye mwenye Genge la utekaji! Weww mwenyewe ndio umejipaka damu kwa kusogeza TISS kuwa chini yako!

Watanzania hasa Watanganyika ni watu poa sana ndio maana hujawahi kuskia hata mwana CCM katekwa na Watu wa upinzani!
Ila Upinzani unatekwa na wana CCM wakishirikiana na Watu wako hao

vunja Laana ondoa Genge wape watu ahueni ya usalama wao! hakuna mtanzania aliyeitwa polisi kwa Hiari na akakataa kuja sasa iweje kuwafata kininja na kuwapoteza

Taifa lolote hata Korea kaskazini Rais anaishi kwa hekaheka tu kutukanwa naa kusemwa ni kawaida

Wewe najua hunaa cha kupoteza kwa kuwa una hela huwezi jua shida zaa wamaskini wa katesh au nachingwea huko zaidi ya kuongea kinadharia tu

Kuua umeua na ulikiri hadharani basi ni bora hata kama hutatubu mbele yetu basi acha kabisa kuteka wakosoaji! zaidi ya hapo utaendelea kujificha ndani weee kuhofia ASASSINATION!
Wanaokuambia ujifiche ni wanatamani kukulia hela zako kwa matishio FEKI ya kiusalama! shtuka mama shtuka

Ondoa Genge! ruhusu wataoenda kuteka washambuuliwe ili kuondoa makapi ya wahuni! hao uliokuwa unawatuma kuua we walape tu hela za bure wasafirishe nje huko au wamalize kimya kimya! Rudisha Hadhi ya Usalama wa Taifa tunayoifahamu

Kemea waislamu Njaa wanaotamani kutugawa maana wananchi wanaweza kuwashambulia hali hii ikiendelea

2026 we anaza upya bila kuteka hata mtu mmoja
 
ccm hakina wahuni, mapungufu yapo lakini amna mwenye akili mbovu ya kuchoma nchi
waliochoma.ni wahuni wa CCM waliolipwa ela na wana CCM wenzenu akiwemo MAKONDA aliyetaman uwaziri mkuu wakaona wamvizie MADELU wamuue kabla hajachaguliwa ili apate yeye!
 
Watanzania hasa Watanganyika ni watu poa sana ndio maana hujawahi kuskia hata mwana CCM katekwa na Watu wa upinzani!
Naunga mkono hoja, ila hili la kiburi, namtetea, sio kiburi, ni yuko tuu too busy hapati muda wa kuingia jf na kutusoma.

Hata mimi niliwahi kudhania ni kiburi Thread 'Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?' Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

P
 
Kwamba haoni wala hajui ?!.

Mbona wakilalamikia swala hilo viongozi wa dini, mara moja utasikia ana react ?!

Tatizo makamanda wajishapewa amri. Mpaka itoke amri nyingine ndiyo wataacha. Otherwise tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom