Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samia suluhu
hali
hali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
raisraissamiasamiasamia amuasili mtoto mchanga
samia suluhu hassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw
Mwenyekiti wa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia.
Katika ziara...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model.
Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026
https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili.
Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe.
Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu
huko vijijini?
Leo hii...
Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
"Jana Samia Suluhu Hassan wakati anazungumza na Rais wa Ghana amesema hali ya kisiasa Tanzania ni shwari, anaiambia dunia hali ya kisiasa Tanzania ni shwari. Nataka kusema kwamba jamii ya kimataifa isisikilize upotoshaji huo, hali ya kisiasa Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi Mkuu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Padri Ameonyesha waziwazi kuwa na chuki binafsi na Rais wetu Mpendwa,ameonyesha tangia awali kuwa na kinyongo na utawala huu, ameonyesha kuwa na dharau na maneno ya dharau sana awamu hii.
Inaonyesha ni mtu mwenye Ubaguzi wa kidini na mtu aliyejaa kiburi moyoni...
Ndugu zangu Watanzania,
Tukisema Rais Samia ni Mama wa Taifa na Mfariji Wa Taifa tunakuwa tunamaanisha . Rais Samia ni Mama mwenye moyo wa huruma , upendo na ukarimu mkubwa sana. Ni kiongozi ambaye ni Mlezi na Mzazi mwenye Upendo wa kiwango cha Agape yaani Upendo usio na mipaka wala kikomo.
Ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha reli ,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia Ametua na kuingia ndani ya jiji la Arusha Kwa Ajili ya Ziara ya Siku mbili.
Ikumbukwe Ya kuwa Arusha ni Mkoa wa kimkakati katika suala...
" Mimi uwa spendi hata maugomvi ya vyama ndio maana wakati nikiwa katibu mkuu nilikuwa nawakemea Wana CCM walioongea mambo ya OVYO dhidi ya wapinzania maana naonaga ni UPUMBAVU TU"
Yule Mwenyekiti wa CCM Kagera sijui kajiskiaje maana yeye ndo aliwai kemewa na Dr nchimbi
Kusema ukweli Nchimbi...
Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiwa Pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mheshimiwa Wanu Hafidhi Wameweza kukutana na kufanya Mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya juu.
Ambapo...
Wakuu,
Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia
Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME.
Kilichosomwa:
"Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
Kila kada wa CCM sasa hivi utamsikia anajifanya yupo karibu na vijana hasa majenzii.
Hii ni suluhu ya rais Samia kujubalika kwa Watanzania?
Huku kuna kovu kubwa hasa kuuliwa kwa raia ambao hata hawakuwa karibu na siasa , wengine walikuutwa wakiangalia mpira kwenye vijiwe vya kahawa.
Shootong...
Ni kama serikali ya rais Samia haifanyi lolote kwenye macho ya watanzania. Ujumla kila analolifanya ni kama void and null.
Nimekuwa na mazungumzo na mmoja wa wakufunzi kwenye chuo cha ualimu sitaki kukitaja. Akaniambia yeye mwenyewe anashangaa sana maana kila analolifanya rais Samia ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.