rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Natamani nimsaidie Rais, je nifanyeje? Nje ya urais ni mtu, ni Mama,ni mke wa mtu

    Ni kosa kubwa mnooo, kwa mwanadamu KUKOSA hisia ni kosa kubwa mnooo! Natamani nimsadlidie RAIS wa Tanzania, maana wateule wake naona hawamsaidiii ipasavyooo. Siuoni msaada wa WAZIRI mkuu maana matamko yake hayaliponyi taifa Je nifanyeje kumsaidia Rais Samia Suluhu hassani. Maana Mimi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Waziri Mstaafu wa Afrika Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa...
  3. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Samia kukosekana kwenye list ya Forbes 2025 ni madhara ya matukio ya Oktoba 29?

    Forbes wametoa tena orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani ambayo ya mwaka wa jana (2024) Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa nafasi ya 91. Lakini cha kushangaza mwaka huu amekosekana kwenye orodha hiyo huku wakionekana Wanawake wengine Wakiafrica zaidi ya nane, kama vile Rais mpya wa Namibia...
  4. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataishi na huu ukweli kwa maisha yake yote yaliyobakia hapa duniani

    Ni Rais pekee ambae watanzania wamemkataa wazi wazi. Sio kwa sababu ya Udini( tuliwahi kuwa na rais waislam na hakukuwa na shida yoyote) , Ukabila au Jinsia kama inavyoenezwa kwa propaganda. Wengi wamemkataa Samia kwa kigezo cha Competency na Uzalendo. Watanzania wanaamini nchi yao ipo...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia hayupo kwenye orodha ya Forbes ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2025

    Kwa haya matukio yake na maneno yake mabaya, hafai kabisa kuwa sehemu kama hii, naona hata mwaka 2024 ni kama walimpa tu! =================== Samia hakuwemo kwenye orodha ya Forbes Rais wa Tanzania 🇹🇿, Samia Suluhu Hassan, hakuwemo kwenye orodha ya Forbes ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Odero: Pamoja na Lissu kuwa gerezani hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia

    Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha? ============= Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa pamoja na Serikali kukaa meza moja ya...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo liangamiza Taifa letu. Ni lazima afahamu ya kuwa Atazitapika Tuuu hizo pesa atake ama asitake. Ni...
  10. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kichekesho: Kama Oktoba 29 Rais Samia angeamua kuachia madaraka, tungeshudia ngumi unlimited za kugombania vyeo

    Nawaza tu hapa. Kama Rais Samia angesema hataki kashikashi tarehe 29 angekaa pembeni na kusema nawaachia hicho kiti aiseee ngumi zingepigwa sana miongoni mwa wapinzani. Yaani mpaka Mange Kimambi naye angesema Urais apewe yeye, huku Zitto Kabwe naye angejitangaza, kule Lissu angejiapisha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Kutomtii Rais Samia ni kukiuka maagizo ya Mungu

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la...
  13. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu la Dodoma, tarehe 13 Desemba 2025
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa? Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema? Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu? Yuko wapi Samia?
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Rais Samia hana uhalali wa kuiongoza nchi yetu, Serikali yake ni haramu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche amesema kuwa Rais Samia hana uhalali wakuiongoza nchi yetu kwa kuwa serikali yake ni haramu na ni mtawala asiye halali. Ameyasema hayo leo Desemba 11,2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari akiwaambia kuwa huo ndio msimamo wa chama hicho...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

    Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Rais Samia kwa Wazee wa Dar es salaam Ndio Iliyolituliza Taifa na Kuzima Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na kuchochewa na wajinga wachache walio nje ya Nchi. Ambao inaonyesha wazi wanapokea vijisenti vya mabeberu na...
Back
Top Bottom