rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea wahuni wachache wanaojipendekeza

    Jana tarehe 21 hapa Mbeya hawa vijana wa Chadema walikuwa na shughuli zao za kumbukumbu ya miaka 33 ya chama chao , kama kawaida walipita pita kwa wadau wao kuomba kuchangiwa na kukaribisha watu wajumuike nao , Tunaishi nao vizuri sana wengi wao ni wahangaikaji kwa haki na jasho hivyo huwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe maneno mazito ya Godbless Lema alimwambia Rais Samia, Nilinusurika kuuawa zaidi mara 3

    Mwanasiasa wa muda mrefu katika siasa za Tanzania kutoka ndani ya CHADEMA Godbless Lema aliwahi kuzungumza mambo mazito sana kuhusu uongozi wa Rais Samia huku akimsii sana kwenye kauli zake na namna ya kuliongozo taifa zima la Tanzania Mh Rais wetu nimekusikiliza zaidi ya mara 20, Mh Rais wewe...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kazi kubwa aliyofanya Rais Samia katika awamu yake ya kwanza, alikuwa hana mbadala wa kupeperusha bendera ya CCM uchaguzi mkuu 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Ukweli Mchungu ni kuwa Kwa kazi kubwa iliyokuwa imefanywa na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Ilimfanya na kufanya kukosekana kwa mbadala wake wa kupeperusha Bendera ya CCM hata kama angekuwa hahitaji...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshinda vita dhidi ya maadui zake na maadui wa Taifa letu waliotaka kuliangamiza Na Kuliteketeza Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watanzania wenzetu kwa kuungana na maadui zetu kwa chuki zao binafsi walidhamiria na kupanga kuliangamiza na kuliteketeza kabisa Taifa letu. Walidhamiria kusambaratisha kabisa umoja , mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania. Walitaka kupandikiza chuki na visasi...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mungu ampe Rais Samia maisha marefu

    Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine. Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa. Hataweza Tena kuwa na amri Wala kusikilizwa na mtu yoyote. Nahapo ndipo atatamani muda urudi nyuma akutane hata na...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

    Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31. Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ninyi Makada wa CCM mliochukua baiskeli, pikipiki, khanga na tisheti za Rais Samia wakati hamumtaki mnajisikia vipi leo hii?

    Baiskeli, Pikipiki, Khanga , tisheti na kofia mligawiwa kama njugu. Mkakataa waziwazi kiongozi wenu. Mkasombwa, maloli matrekta na matela ya punda kujaza mikutano. Leo hii mnatumia hizo baiskeli na pikipiki kwa shughuli zenu huku kumbe hamumtaki kiongozi wenu. Mnajisikia vipi?
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kumtambua Samia kwamba ni rais ni kuunga mkono mauaji ya halaiki Oktoba 29+

    Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali. Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala. Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mbele ya Mabalozi imeonyesha alikusudia kabisa kilichotokea Oktoba 29

    Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya mafanikio haya makubwa, kwa masikitiko tunatambua changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa wageni kutoka nje kufuatia kukatika kwa intaneti na usumbufu wa huduma wakati wa uchaguzi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2025, Tanzania ilifanya uchaguzi wake mkuu wa saba ambao ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake na kwamba uchaguzi huo uligharamiwa kwa fedha za ndani. Licha ya mafanikio hayo, pia Rais Samia amebainisha changamoto...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akifungua Mwaka Na Mabalozi Wanaowakilisha Nchi Zao Tanzania, Januari 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=smcyAJSocyA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahutubia Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Sherry Party uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma, tarehe 15 Januari 2026, akisisitiza umuhimu wa diplomasia, ushirikiano wa kimataifa na...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972 Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia hana watetezi mitandaoni kama mtangulizi wake Magufuli? Wanaojaribu kumtetea ni kama hawana mashiko

    Mitando ndio inatoa taswira ya hali halisi. Kwa mantiki hii ni kuwa bado rais Samia hakubaliki kama ilivyokuwa mtangulizi wake. Nimeona jana kuna mmoja yupo Kibaha. Anaponda watu kupinga Simbachawene kutumbuliwa. Naona kama mtu ambaye hajitambui. Kwa ufupi watu hawamkubali kabisa Rais...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Amshukuru Rais Samia kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake

    Mkazi wa Dar es Salaam, Simon Bryson amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugharamia matibabu ya mtoto wake Nilsa Simon kufuatia ombi lake kupitia mitandao ya kijamii mtoto wake asaidiwe matibabu . Bw. Simon ametoa shukurani hizo leo Januari 13...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi rais Samia huwa anaambiwa ukweli na wasaidizi wake? Kuna Mtanzania yoyote ana imani na Mahakama hii inayomuweka Lissu Mahabusu bila kosa?

    Nimeangalia sasa hivi anahutubia huko Dodoma kuwa Watanzania wana imani na mahakama. Huu ni uongo. Maana mahakama yenyewe imejaa rushwa na maonevu. watu wengi wapo mahakamani hawana makosa. Lissu hana makosa lakini hakuna Jaji aliyethubutu kumuachia pamoja na kuwa mpaka sasa jamhuri haina...
  20. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia umetufanyia mengi mazuri pia, usisahau hili elimu yetu tutumie kiingereza kuanzia chekechea

    Kwanza nakupa pongezi raisi wangu Kwa kutoyumbishwa na watu ambao hawaitakii mema nchi yetu Kwa hili nakupingeza sana. Umetufanyia mambo mengi sana mazuri mpaka Sasa nchi imetulia na uchumi wetu umetulia endelea kupiga kazi mama. Kuna hili jambo la lugha ya kufundishia elimu yetu ya awali Yani...
Back
Top Bottom