rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulifika uchumi wa kati tukarudishwa, tupambane turudi tulikokuwa

    “Tanzania yetu ilikwenda tukafika uchumi wa kati tukarudishwa, kwa uwezo wa Mungu wala si uwezo wa mtu, sasa hivi kazi yetu ni kupambana kurudi tulikokuwa tusije tukarudishwa tukaambiwa hamfai tena kukaa hapa, tupambane turudi kule. “Na kwa mipango na jinsi ninavyoiendesha Serikali nina imani...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi. Nenelwa amesema baada ya maboresho ya Studio ya Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia vikao vya Bunge vitaanza kurushwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Aliyofanikisha Rais Samia ndani ya mwaka mmoja kwa Walimu

    Mafanikio haya kwa Walimu ni ndani ya Mwaka Mmoja tu wa Rais Samia na Kazi Inaendelea
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Shaka kuongoza iftar maalum ya mayatima na wajane kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia

    MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUONGOZA IFTAR MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA. Leo Jumapili Aprili 03, 2022 Kuanzia Majira ya Saa 10:30 Jioni hii, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ataongoza Iftar Maalum ya Kuadhimisha...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kuiba bango lenye picha ya Rais Samia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

    MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, tarehe 31 Machi 2022 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa White House.
  12. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakaguzi wa ndani wanashirikiana na watu wa manunuzi kuchepusha fedha

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitengo cha Ukaguzi wa Ndani bado hakiko vizuri na ndio sababu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hukutana na matatizo mengi Amesema baadhi ya wakaguzi wa ndani hushirikiana na watu wa manunuzi ili kujua mbinu za kuchepusha fedha za serikali Amemtaka...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mwaka ujao wa fedha tumetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya Kustabilize Umeme ili kukatikakatika Umeme iwe historia

    Rais Samia amesema kufuatia tatizo la kukatika katika Umeme kuanzia kwenye ujenzi wa Bwawa la Nyerere na maeneo mengine ya uwekezaji serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya ku-stabilize umeme kila eneo nchini. Rais Samia ameomba bunge likasimamie jambo hilo. Source: ITV
  16. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  18. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  19. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

    Twende kwenye mada. Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia. Afya ikiwa ni moja ya kipaumbele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya...
  20. Cathelin

    JamiiForums Tanzania 2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

    Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni. Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo. - Samia hana strongholds hata...
Back
Top Bottom