rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

    Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu. Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Ili kuisaidia nchi na kumsaidia Rais Samia, je tumfanyie an honest MTR based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo to determine tunapokwenda?

    Wanabodi, Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf. Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  5. S

    JamiiForums Tanzania BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania. Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari. Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba. Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c Mhe. Rais Samia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Samizi amuunga mkono Rais Samia kwa kugawa majiko ya gesi 400. Wananchi wamchukulia fomu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa 10M Kibondo kueleza kwa wananchi wake mambo makubwa aliyoyafanya pamoja na Serikali ya Rais...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitaka akumbukwe kwenye utumishi wake basi asiendeshe uchaguzi bila Tume Huru za Uchaguzi Zanzibar na Tanganyika

    Habari wanajamvi, Huyu mama amekuwa anaupiga mwingi mpaka unamwagika, lakini akitaka tumkumbuke katika utumishi wake asithubutu kutumia fedha hata senti 5 kuendesha uchaguzi kiiinimacho bila tume huru ya uchaguzi Zanzibar na Tanganyika. Tukubaliane kabisa na wapinzani mkubali hizo fedha...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

    Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania Wito huo umetolewa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania 4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

    Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu. Mfano wa kwanza Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Bil 2.4 Malipo ya Wafanyakazi wa Urafiki

    CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10. Mball na serkali kutoa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Huenda Kuna watu wanapanga kumwangusha Rais Samia na CCM yake kwani baada ya nauli kupanda kwa 43% sasa gharama za kumwona daktari zapanda kwa 400%

    Haraka kwenye mada, mambo ni mengi, Juzi nilisafiri kutoka Dar-Mpaka Singida kwa nauli ya TZS 46,000 kutoka TZS 25,000 iliyokuwepo, Malalamiko ya raia ni mengi kuhusu upandaji wa nauli na huenda yakafika mpaka 2024 na 2025 kwani ni karibu mno, Leo tena naona Wizara ya Afya imepandisha gharama...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anakula maisha arabuni, Bila salamu za rambirambi, wazazi wa Joshua Mollel wakipambana wenyewe

    Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Paul Makonda, watanzania wanyonge wanahitaji ziara zako. Maana zinampatia Rais Samia picha kamili ya matatizo yanayowasibu.

    Mjinga na mpumbavu ndio atapinga hili. Wananchi wanatoa kero zao na hapo mkuu wa nchi anapata picha kamili kuwa kumbe kuna matatizo. Kwa nini haya matatizo yasitatuliwe? Chama kilichoshika hatamu lazima kisikilize kero za wananchi na kutatua hizo kero. Wananchi wanahitaji ziara zako. Iwe jua...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Joseph Pande Afariki Dunia, Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi

    Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  19. JamiiForums Tanzania Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…