rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. MLIMAWANYOKA

    PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  2. Idugunde

    Video ya mzee Malissa ina maanisha nini? Rais Samia lazima ag'oke madarakani?

    Nimeiona video ya kada huyu wa CCM mfukuzwa ikidai kuwa watanzania wataandamana mpaka Samia aachie urais. Je, anamaanisha kweli? Kuwa kitendo cha kikwete kumpitisha rais Samia kwenye mkutano mkuu bila endorsement ya wanachama kimeleta mpasuko ndani ya CCM?
  3. President of China

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI USHARIKA WA KISASA DODOMA na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI

    WAZIRI MKUU MWIGULU AFIKA na MKEWE KANISANI na ULINZI MKALI - AFIKISHA SALAMU za RAIS SAMIA AMANI...cc; BAKARI MAHUNDU https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
  4. G Sam

    PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  5. Mafyangula

    PostGE2025 Maiko Salali: Tanzania ina kiongozi msikivu, anayejali watu wake na anayetamani kuona nchi inaendelea mbele

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali linalo shughulikia watu wenye ulemavu la Disability Hope Maiko Salali (FDH)amepongeza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa bungeni, akisema imekuwa ni mwanga mpya kwa taifa lililopitia mtihani...
  6. Doctor Mama Amon

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
  7. R

    Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  8. N

    PostGE2025 Rais Samia tubu, waombe radhi Watanzania wema

    1. Mheshimiwa rais leo umetoa hotuba ya kuumiza mno Watanzania wema , hujakemea kwa kauli kali uhalifu, umewapa zawadi majambazi , maharamia , wezi, vibaka kwa kutamka mbele ya vyombo kuwa wasamehewe? kweli ? basi samehe na wabakaji magerezani wa mihemko, naomba tuombe radhi tuliotumia nguvu na...
  9. N

    Rais wangu Samia huongei kama Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Serikali

    Rais wangu Samia leo nimekwazika mno kwenye hotuba yako 1. Hukutakiwa kusema hatuigiliwi mambo yetu ya ndani ungesema MTU ASIJARIBU NA AKIJARIBU HATAPATA MUDA WA KUJUTIA ILA NDUGU ZAKE WATAJUTA KWA NIABA YAKE. ujumbe ufike vizuri 2. ETI UNAWASAMAHE VIJANA KISA MKUMBO ? KWELI HATA MIMI KESHO...
  10. S

    Hotuba ya rais Samia imenichefua sana. Tarehe 9 December nitatoka!

    Mambo yaliyonichefua:- A. Kuunda wizara ya vijana. So what? B. Ataunda tume kuchunguza chanzo cha vurugu na maafa ya 29.10. Samia hajijui kuwa yeye ndiyo chanzo? C. Neno "demokrasia" linaweza kutafsiriwa na nchi yoyote ile, lkn sisi (watz) ni wakomavu wa demokrasia. Tuna ukomavu gani? D...
  11. Dr Adam Francis

    Hotuba ya Rais Samia ni Nyota njema iliyoonekana ahsubuhi!

    Rais Samia leo ametoa hotuba ya kufungua Bunge la 13. Hii ni hutuba iliyosubiriwa na wengi kutoa mwelekeo mpya wa kipindi cha pili cha serikali ya awamu ya sita ambayo kwakweli imepitia kipindi kigumu cha uchaguzi. Rais Samia ametambua uwepo wa maandamano na vurugu October 29, aidha ameliongoza...
  12. tonicimmobility

    PostGE2025 Rais Samia: Mwisho wa awamu ya sita usipimwe tu kwa majengo na vitu vinavyoonekana, bali kwa tabasamu la utu kwenye nyuso za Watanzania

    Rais Samia leo katika ufunguzi wa bunge jijini Dodoma amemalizia kwa kusema Rais Samia amesema Namuomba mungu mwisho wa utumishi wa awamu ya sita usipimwe tu kwa vitu, majengo na vitu vinavyoonekana bali kwa tabasamu la utu litakaloachwa kwenye nyuso za watanzania
  13. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais Samia: Tuheshimiwe kama tunavyowaheshimu mataifa mengine

    "Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bunge la 13
  14. R

    PostGE2025 Rais Samia: Tutaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari ili watanzania wapate haki ya taarifa

    Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari iliwatanzania aweze kupata haki ya taarifa za ndani na nje ya nchi Pia amesema wataendelea kutambua...
  15. M

    PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  16. R

    PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  17. R

    Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  18. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  19. Cute Wife

    PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
Back
Top Bottom